Naomba ushauri wenu jamani

Faru12

JF-Expert Member
Jun 24, 2014
391
235
Habari zenu.

Kama kichwa cha habari kisemavyo, wale wajuzi wa magari pia wale wenye uzoefu na hizi gari DAEWOO NUBIRIA naombeni ushauri wenu wa jinsi hii gari ilivyo.

- Ubora
- Upatikanaji wa spare
- Na changamoto za hii gari zikoje?

Ni gari nataka kuichukuwa kwaajili ya kufanyia biashara.

IMG_20191125_141616.jpeg
 
utakuja kufugia kuku tu,bora ununue hata Toyota Platz tu naona vinafanana.
 
Mtatuambia Kuna magari yanaitwa TOYOTA K-VANT, AU NISSAN SERENGETI
 
Back
Top Bottom