Naomba ushauri wanaJF wenzangu....

kwa nini humu ndio umeambiwa waganga wa mapenzi wanapatikana fikiri kwa kabla uja post..
 
Mhhh jiangalie may be una tatizo au mapungufu ambayo yanasababisha usipate
Na wanawake wote hawa hujapata tuu
 
Jaribu kuongea na Dr Slaa anaweza kukutafutia hata mke aliyeachwa na mtu.
 
Ungesema kwanini hupati ingekuwa rahisi kupewa jibu..., unless kama standard zako zipo juu sana na kila unaemuona unaona hafai..
 
Natafuta mchumba sipati nitumie mbinu gani niweze kupata?

hebu tueleze kuanzia mwanzo....ulijaribu nini na nini....au umeshawahi kutumia mbinu zipi....ili uweze kupata ushauri uliokamilika....
 
Hakuna nini wala nini wewe m-pm Slaa tu atakutafutia mke wa mtu utamuoa
 
Jaribu kujieleza vyema mkuu...fafanua aina ya mtu umtafutae bila kusahau kuweka details zako kadiri iwezekanavyo.
umri,kazi,elimu,kimo,rangi nk.
love connect ndio watakiwa kwenda...
kila la kheri.
usisahau kurudi ukifanikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom