naomba ushauri wana JF

lakshi

Member
Aug 16, 2012
30
6
mimi nasoma shahada ya kwanza ya ualimu ..Bed-English...niko mwaka wa 3.. ningependa sana kusoma postgraduate diploma ya international relation management... kuna chuo Tanzania? na nitapata ajira? maana ninapenda sana kufanya kazi hizo..
 
Nenda chuo cha utumishi wa umma 'Magogoni' kaulizie nasikia huwa yapo hayo mambo!
 
Back
Top Bottom