Naomba ushauri wa tatizo la kuwashwa uume

Same to me....every chick ninae sex nae after 5-7 mnts of pumping, mjulubeng unaanza kuwasha kinoma like umemwagiwa upupu.nimejaribu every kind of matibabu na kujaribu kujua nn tatizo nimetoka kapa.

imagine even niki masturbate tabu iko pale pale.now imebidi nichill tu nitemane na mbunye kama mwaka m1 then nitest tena cz hii hali inakera kinoma yan...
 
Mpenzi wangu amekuwa akilalamika kuwa tukifanya Mapenzi anawashwa uume.. Hivyo inabidi tutumie Kinga. Je, hii inaweza kuwa inasababishwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yapo baadhi ya magonjwa yanayoathiri uume ambayo hayasababishwi na vijidudu vya aina yoyote.

Unakuta ni magonjwa ya mpangilio usio sahihi wa seli au tishu za hilo eneo, pamoja na sababu zinginezo za kimaumbile.

Nenda hospitali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpenzi wangu amekuwa akilalamika kuwa tukifanya Mapenzi anawashwa uume.. Hivyo inabidi tutumie Kinga. Je, hii inaweza kuwa inasababishwa na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwenda una fungus hatari ambavyo wewe kwako hawakudhuru ila mwingine wanamdhuru ushauri wangu koga sawasawa, jisafishe chini mara kwa mara usichoke ili uweze kuangamiza vijidudu

CCM DAMUDAMU!!!, CHAMA CHA MAMA &BABA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom