Naomba ushauri wa kuniongeza juu ya course itayoniwezesha kujiajiri

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
692
546
Habari mkuu?
Mimi ni mwanafunzi nimehitimu form six mwaka huu nasoma mchepuo wa HGE kwanini nimekuja hapa?

Wakuu
-course gani ninaweza kusoma pindi niwapo chuo pasipo kufikiria kujiajiliwa nimewaza kwanza IT,Agrobusiness

-je kuna ushauri mnaweza kuniongeza kwa hili juu ya course zingine wakuu?
 
Back
Top Bottom