Naomba ushauri wa kujiendeleza kozi ya nursing

Anselem mathew

Senior Member
May 17, 2017
107
66
Jaman habarini za kazi nilikuwa naomba ushaur wenu Wa mawazo juu ya kujiendeleza kimasomo juu ya kozi ya uuguzi kwa level ya degree hivi kuna uwezekano wa kusoma faculty nyingne ila ya afya hiyo hiyo kama MD, pharmacy.

Nina diploma ya nursing au haiwezekan na je vipi kuhusu majukumu ya nursing degree wanafanya surgery au inakuaje?
 
Jaman habarini za kazi nilikuwa naomba ushaur wenu Wa mawazo juu ya kujiendeleza kimasomo juu ya kozi ya uuguzi kwa lever ya degree hivi kuna uwezekano Wa kusoma faculty nyingne ila ya afya hiyo hiyo kama MD pharmacy ila Nina diploma ya nursing au haiwezekan na je vipi kuhusu majukumu ya nursing degree wanafanya surgery au inakuaje

Ukiangalia vizuri kitabu cha TCU utaona kuwa nurse mwenye diploma anaweza kusoma nursing, midwifery, nursing education etc Ila sio zile kozi nyingine

Pia nurse hawezi fanya surgery

I stand to be corrected
 
Yaani wewe ni nurse diploma hujui unaweza kusoma vitu gani kuendelea?

Unauliza kama nesi anaweza kufanya surgery really? Halafu wewe ni diploma holder wa nursing?

Hebu kuwa mkweli mkuu ndo kwanza unataka ukasome hiyo diploma au ushasoma tayari.
 
hahaha :):):) manesi wa mwendo kasi hawa...
 
Sifahamu system ya Tanzania lakini kama una BSc in nursing with first class au upper seocnd ni entry qualification ya medicine
 
Yaani wewe ni nurse diploma hujui unaweza kusoma vitu gani kuendelea?

Unauliza kama nesi anaweza kufanya surgery really? Halafu wewe ni diploma holder wa nursing?

Hebu kuwa mkweli mkuu ndo kwanza unataka ukasome hiyo diploma au ushasoma tayari.
Ndio nataka nikasome hiyo diploma but nilikuwa nauliza tu kuhusu kusonga mbele juu ya nursing katika elimu ya juu
 
Nursing sio faculty of medicine, nursing inajitegemea, huwezi kuwa daktari kwa kutumia cheti cha nursing, kama unataka kuwa daktari tumia cheti chako cha form six kufanya application ukasome medicine ili uwe MD,
Wewe ni mwanafunzi wa uuguzi , maswali kama haya hayawezi kuulizwa na nurse mwenye stashahada,

Maisha bado hayajakupiga kisawa sawa ndio maana unahangaika na status,
Unataka kufakamia kitu usichokijua vizuri,

Kwa vile umejiunga jamii forum utanielewa siku si nyingi, udaktari siku hizi ni kama ualimu wa arts ajira hamna,
maisha ni akili, shikiria taaluma ya uuguzi, hii ni awamu ya tano, shauri yako.

_ where ever you are remember me_

[/Asant mkuu nimekuelewa aiseee
 
Mh bora nimepita huku nimeelewa hata siendi tena shule nilichokipata form four kinisaidie tu kupanga vitu kichwani nisilale njaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu kasema ukweli 90% ila kusema kuwa udaktari km ualimu wa arts huo urongo.
Bali udaktari una competition ktk kupata ajira aliye na elimu ya juu zaidi ndiye mwepesi Zaidi kupata kazi.
Na km amekosa kujiajiri kupo na kunalipa kishenzi.

Ila huwez chukua diploma ya nursing ukasomee Medicine laa haiwezekani unless ungepata ordinary diploma in clinical medicine ingekutaka uwe na GPA ya 3.5 ukasomee MD Medical doctor ama ungepata advanced diploma of clinical medicine ingekuwa rahisi zaidi.
Ila kwa nursing hapana ndugu.
 
Kihei cha kusoma medicine kwa nchi nyingi ni degree ya science uwe na 1.1 au 1.2

Ukiwa na BSc Nursing unaweza ku apply medical school.

Sifahamu Tanzania inakuwaje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom