Naomba ushauri wa kufungua Duka la Chemical reagents

Jazajuan

Senior Member
Dec 9, 2017
147
262
Mke wangu ni mhitimu wa diploma ya maabara.

Nataka kumfungulia duka la Kuuza Chemical reagents za hospital na viwandani.

Naomba ushauri wenu taratibu za awali kabla sijafungua
 
Mkuu Sio mke wako ndio alitakiwa awe anajua ABC za hiyo Kazi maana ipo ndani ya taaluma yake, alitakiwa kujua vibali unapataje,gharama zake, utaratibu Mzima nk

Wewe utoe msaada kwenye kutafuta eneo la Kazi, connection ya kupata hizo reagents Kwa bei nzuri, namna ya kupunguza au kukwepa Kodi nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom