Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

Ouk muambie achague hiyo MD uone km atapata, unabisha tyuuuh huku uhalisia unaujua. Mshauri achague faculty ambayo atakidhi na kufanikiwa kupata. Labda uainishe ni chuo kipi, ila sio hivi ninavyovijua hata mweny 1 ya 9 ngumu kupata, aaah tuwekane wazi bhana.
Nimemwambia ajaribu vya private.

Huo ni mtazamo wangu. Za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom