luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,871
Habarini za Majukumu Wadau.
Naomba msaada wenu wa ushauri kisheria kulingana na tatizo langu.
Mimi nilinunua kiwanja cha makazi vilivyo kuwa vinauzwa na halmashauri X, sikukiendeleza kile kiwanja kwa muda wa miaka kadhaa. Baada ya kujipanga na kuwa tayari kukiendeleza kile kiwanja nikagundua ile halmashauri waliniuzia KIWANJA CHA MAKAZI AMBACHO BOMBA LA MAJI LA 4INCH LIMEPITA HAPO KATIKATI ya uwanja. Nimemwandikia sana barua DED wa ile halmashauri lakini majibu yao ni yakunikandamiza mimi sababu wanataka mimi ndio ni gharamie gharama za kulihamisha ilo bomba. Gharama ya kulihamisha ilo bomba ni 5.M
Naomba msaada wenu wa kisheria Je, naweza kuwaburuza mahakaman hii halmashauri ili wagharamie izo gharama za kulihamisha ilo bomba kutoka katika kiwanja nilicho uziwa na halmashauri iyo?