MR KUO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,394
- 3,242
Wadau naombeni ushauri nimchukulie hatua gani za kisheria mtu huyu anayetumia jina langu na sain kwenye nyaraka zake za kuombea pesa kwa wafadhili? Iko hivi mwaka 2016 nikiwa mwanachama hai wa ngo's fulani hapa mjini tulifukuzwa uanachama kutokana na kulalamikia makosa ya uongozi uliokuwepo, hatukutaka Shari kila mtu akashika hamsini zake.
Cha kushangaza pamoja na kufutwa lakini bado majina yetu na sain zinatumika Kama kawaida kwenye nyaraka zao za kuomba na kupokea pesa toka kwa wafadhiri, mfano kumetokea semina majina yetu yanaonekana kwenye list ya washiriki na kusainiwa Kama kawaida Kama ishara ya kupokea pesa.haya nimeyagundua baada ya mmojawao kunitonya hizi habari nyeti. Naombeni ushauri niwachukulie hatua gani za kisheria Hawa watu?
NB badao natafuta ushahidi usiotiliwa Shaka.
Sent using Jamii Forums mobile app