Naomba ushauri wa kimapenzi wandugu

fazzle boy

Member
Dec 4, 2015
21
2
jamani poleni na majukumu ya kila siku mimi nahitaji kuoa na nini msichana wangu niliyekua nae kwa muda wa miaka sita toka enzi za secondary lakini imekuja kuwa vigumu kumuoa kwani mama yangu mzazi anapinga mimi nisioe kwa kigezo kua yeye amenitafutia mwanamke mwingine lakini mimi sijamwona pia anasema kuoa mwanamke ambaye nimedumu nae kwa mda mrefu eti tutachokana mapema hii imekaaje naombeni ushauri
 
Jambo la ndoa Dhamana yako, Mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe
 
kwann na ww umedumu kwenye uhusiano kwa muda mrefu???unamwachwa huyo nan ndo amuoe wakat umemtumia vya kutosha???
 
Mzazi anatikiwa akupe ushauri na wala sio kukuchagulia halafu Elimu imekusaidiaje katika kukujenga kufanya maamuzi au na mambo mengine unafanyiwagwa maamuzi kuwa mwanaume mkuu.
nimekuelewa binafsi hua maamuzi ni yangu mwenye na sichaguliwagi ila kwahili nimekuja humu nipate mawazo yenu nikiongeza na yangu nifanye maamuzi sahii
 
Muulize mama yako huyo alie kuchagulia ataishi nae yeye au
Mama yako anakupenda
 
Back
Top Bottom