joseph kayange
New Member
- Dec 19, 2019
- 1
- 5
Habari !!naomba ushauri wa magari aina ya Mitsubishi outland na ford rangers juu ya matumizi ya mafuta, upatikanaji wa spea na mengine kama nitakua nimeyaacha.
Nawakilisha
Nawakilisha
Hahaha unamfunga mota πππDunia ni kijiji
Anaagiza tu hapo mzigoo shwaaaa unafika ππHahaha unamfunga mota πππ
Anaagiza tu au sio πππAnaagiza tu hapo mzigoo shwaaaa unafika ππ
Chap chap kama k.koo tu hapoAnaagiza tu au sio πππ
Inategemea na mfukoChap chap kama k.koo tu hapo
Kupanda daladala kuna husika kama mfuko umetoboka πππInategemea na mfuko
EWURA ndio muamuziKupanda daladala kuna husika kama mfuko umetoboka πππ
EWURA kawa mnoko sana πππEWURA ndio muamuzi
EWURA kawa mnoko sana πππ
πHahaha unamfunga mota πππ
Litatembea kutoka bandarini mpaka home then ataanza uswahiba na mafundi gerejiAnaagiza tu au sio πππ
Ford Ranger ndo UNYAMA nwingiHahaha unamfunga mota πππ
Hahahaha πππ π€£π π€£Hahaha unamfunga mota πππ
Habari !!naomba ushauri wa magari aina ya Mitsubishi outland na ford rangers juu ya matumizi ya mafuta, upatikanaji wa spea na mengine kama nitakua nimeyaacha.
Nawakilisha