Naomba ushauri wa course gani naweza kumpeleka mdogo wangu kwa matokeo haya

Niache 2

Member
Aug 7, 2017
69
34
Habari za wakati huu wanajf

Madogo ndo hao Sasa lazima wafanye mtihani wa kidato cha sita.
Naomba ushauri wa course gani naweza kumpeleka dogo langu kwa matokeo haya:-
Chemistry-B
Biology-B
Mathematics-C
Kiswahili-C
Geography-C
Civics-D
History-D

Iwe course nzuri na yenye ajira na iwe tofauti na ualimu.
Ushauri tafadhali dogo kaniganda mpaka basi.
Karibu sana kwa wenye la kuchangia na udhoefu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Water labo
Chuo cha maji
Wahi mapema kabla ya 20 mwez wa 8
Ukichelewa tumia mtandao
 
Water labo
Chuo cha maji
Wahi mapema kabla ya 20 mwez wa 8
Ukichelewa tumia mtandao
Wameongeza mda leo hii hadi tar 30 August.. but ajiangalie zaidi kwa ufaulu huu, maana physics siioni na pale inahitajika sana...
Anyway, ajaribu kuapply water labo labda atachaguliwa
 
Habari za wakati huu wanajf

Madogo ndo hao Sasa lazima wafanye mtihani wa kidato cha sita.
Naomba ushauri wa course gani naweza kumpeleka dogo langu kwa matokeo haya:-
Chemistry-B
Biology-B
Mathematics-C
Kiswahili-C
Geography-C
Civics-D
History-D

Iwe course nzuri na yenye ajira na iwe tofauti na ualimu.
Ushauri tafadhali dogo kaniganda mpaka basi.
Karibu sana kwa wenye la kuchangia na udhoefu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Clinical officer
Civil engineering…
Water irrigation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningekuwa yeye ningesoma " FOOD SCIENCE ."
Ila kwa kuwa mimi sio yeye fuata ushauri wa wadau kwa juu hapo.
 
Habari za wakati huu wanajf

Madogo ndo hao Sasa lazima wafanye mtihani wa kidato cha sita.
Naomba ushauri wa course gani naweza kumpeleka dogo langu kwa matokeo haya:-
Chemistry-B
Biology-B
Mathematics-C
Kiswahili-C
Geography-C
Civics-D
History-D

Iwe course nzuri na yenye ajira na iwe tofauti na ualimu.
Ushauri tafadhali dogo kaniganda mpaka basi.
Karibu sana kwa wenye la kuchangia na udhoefu pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama kaka inabd umwelekeze huyo dogo (maana anajitoa akili!). Mwambie fika kuwa ni lazima apige hizo pepa..! Kwanza mambo aliyosoma chuo cha ualimu ndo yale yale ya form six..! Kama haamini mwabie apitie syllabus ya advanced level na masomo aliyosoma huko chuo nadhani atashangaa huo mfanano wa topics na module za chuo.!
Lakini pia hatofanya pepa kama wanavyofanya form six wenyewe..! Kama amesomea ualimu wa bios na chem basi atafanya pepa hizo hizo bila ya kufanya pepa ya physics..! Na kwa masomo mengine ni hivyo hivyo..!

Lakini pia mueleze muda aliopoteza wakati akisoma hiyo diploma.. Leo hii aanze diploma nyengine..?! NI UPUUZI.

Najua anatishika na jina la ACSEE mwambie hamna kitu bana.. Pepa ni nyepesi sana...! Its just jinsi ya kujibu tu ndo inayowachanganya watu..!

Kwa kumsaidia tu..! Mwambie aanze kupiga pepa za form six kwenye tuition centers.. Mpaka mwakani atakuwa yupo nondo balaa na atapasua vizur tu hizo pepa

Ubavu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom