Naomba ushauri wa Computer nzuri ya kununua

Hercule Poirot

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,717
1,472
habari wakuu...baada ya kujibana kidogo nimeamua ninunue desktop computer,
naomba msaada wenu niweze kununua pc nzuri nisijeuziwa kimeo. wadau nitapata wapi desktop comptr nzuri! na aina gani ndo bora... msaada plz wadau
 
Ili wadau waweze kukusaidia vizuri, ni bora ukatoa maelezo zaidi juu ya matumizi ya hiyo computer.

Utaitumia kuchezea computer games or watch movies?
Utakuwa unatumia application nyingi kwa wakati mmoja?

More details will enable wanaJF kukupa ushauri mzuri zaidi.
 
Mkuu nataka niitumie kwa matumizi mengi kwa wakati mmoja sio game na movie tu, nataka mashine durable na yenye ram atleast 1gb
 
Back
Top Bottom