Naomba ushauri wa App ya watoto kwenye simu

bievinii

JF-Expert Member
May 12, 2021
712
737
Habari,

Nina mwanangu ana mwaka na miezi kadhaa huwa anslilia simu yangu naombeni elimu ya kutanya ili asifute vitu vyangu mule maana ye anagusa popote tu.
 
Mwaka na miezi mbona bado mdogo sana kuanza kuchezea simu.
Kwanini asinunuliwe toys tofauti na hizo gadgets.
 
Mwanga wa simu kwa mtoto mchanga ni hatari....


Mtafutie toys ambazo hawezi akameza na zisizoweza "kuchambuka"....
 
Back
Top Bottom