Tanzania ni Dar Mkuu
Lazima kuoenyeza kwenye masoko mengine mkuu. We must expand our horizon. Watanzania tupo milioni 40 uki concentrate Dar tu una punguza market mpaka just 2 milion people. Pamoja na Dar ni vizuri kuangalia pia na sehemu zingine. AU unaonaje mkuu?
Gharama ya cement inakuwa driven hasa na umeme kuna makampuni yanalipa mpaka 300mill kama bill ya umeme.
Slaa akiingia madarakani akahakikisha no coal importation tuchimbe ya mchuchuma/ngaka/kiwila na kuhakikisha kuwa kuna usafili reliable via train (cheap/bulky)ie TRC NA TAZARA bila kusahau cheap energy kwa kuwa tuna Uranium Namtumbo.
Kama cement ya Pakistan inafika apa kwetu na kuuzwa kwa 9000 kwa mfuko why not 5000tshs.
Ila mkumbuke kuwa as long as hiyo itakuwa bei ya kiwandani
D'MAN cement hutengenezwa kwa kutumia clay+sandstone+limeston=raw meal alafu raw meal ikichomwa either kwa coal au gas unapata clinker.
Clinker+Gypsum+Additive=cement
Aditive yaweza kuwa limestone kama twiga au pozolana kama ya Mbeya na Tanga
Ukiangalia vyote ivyo ni vitu vinavyochimbwa ardhini na vingi vyapatikana Tz
Gharama ya cement inakuwa driven hasa na umeme kuna makampuni yanalipa mpaka 300mill kama bill ya umeme.
Slaa akiingia madarakani akahakikisha no coal importation tuchimbe ya mchuchuma/ngaka/kiwila na kuhakikisha kuwa kuna usafili reliable via train (cheap/bulky)ie TRC NA TAZARA bila kusahau cheap energy kwa kuwa tuna Uranium Namtumbo.
Kama cement ya Pakistan inafika apa kwetu na kuuzwa kwa 9000 kwa mfuko why not 5000tshs.
Ila mkumbuke kuwa as long as hiyo itakuwa bei ya kiwandani
What about Equillibrium point?
Kama bei ikishuka mahitaji (demand yataongezeka) na kama ugavi (supply) hautaongezeka soko litapandisha bei kufikia point of DEMAND=SUPPLY