Naomba ushauri: Siku hizi nikinywa pombe naumwa

bigest

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
340
166
Kwanza poleni na mihangaiko ya kutafuta riziki lakini ndio maisha ya mwanadamu hapa duniani.

Ndugu zangu kama nilivyosema hapo juu katika kichwa cha habari, nakuja kwenu kuomba ushauli wa tatizo nililo nalo ni muda wa mwaka na nusu.

Ni hivi mwanzo nilikua nakunywa pombe yaani bia, safari, kili, serengeti n.k nilikua nakunywa na bila kupata madhara yoyote, cha ajabu siku hizi nikinywa safari mbili basi kesho lazima niumwe, dalili mwili upata joto na kutojisikia vizuri na hutumia vidonge vya taifodi hapo ndio hutulia.

Na kuwa na hali nzuri, imekua tatizo la muda ombi langu kwenu kama kuna anayejua tatizo hili anipe ushauli au njia gani nitumie maana sina raha na starehe yangu pombe siku za wekend napata ila tatizo ndio hilo naomba ushauli kwa anayejua tatizo hili.

Asanteni.
 
Ngoja Chalamila aje
 
Aisee, watu tunatofautiana sana. Nakutamani sana. Achana na pombe utakuja nishukuru
 
Back
Top Bottom