Naomba ushauri. Ntaachaje kupiga punyeto.?

jussine

Member
Jul 18, 2016
36
95
Nana umri wamiaka 24 sasa. Tangu nipo kidato cha nne mwaka 2010 nilianza kupiga punyeto. Kiukweli imeniathiri sana. Ninae mpenzi but nashukuru mungu ninamridhisha vizuri tu. Lakini mm nikitoka hapo naingia bafuni kukamilisha starehe yangu kwa kupiga punyeto.
Naombeni ushauri wadau nifanyaje maana nimechoka mchezo huu mchafu.?
 

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,527
2,000
Jitahidi kuwa busy na kazi na usipende kukaa peke yako itasadia kupunguza idadi ya kuingia bafuni baadae utakuwa kawaida...hiyo ni process mkuu
 

Joseverest

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
45,109
2,000
Mazoezi ya Nguvu


Usiwaze huo mchezo jiweke busy na ukitoka 'kumichana/kugegedana/kubanduana/kungonoka/kunjunjana/kukutanisha vikojoleo' na huyo mpenzi wako Jiwekee nadhiri/jipige marufuku ya kwenda bafuni kupiga selfie/nyeto... Jizoeshe hivyo mara kwa mara na hata ukiwa peke yako usiwaze hayo mawazo machafu
 

talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
2,056
2,000
tafuta nyuzi kibao zimo humu...we ingia kwenye hiyo search bar tu hapo juu.halafu andika "punyeto" zitakuja nyuzi kibaooo watu wamemwaga maushauri ya kutosha...hizi nyuzi zishakuwa nyingi sasa mpk zinakifu tn
 

SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
8,009
2,000
Madhara yake yakikukuta utaanza jitihada za kuacha. Japo huwa ni ngumu sana kuacha.
Usifanye kila siku. Anza kufanya mara moja kwa wiki, taratibu Mara moja kwa mwezi mwisho utazoea tu.
 

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
4,981
2,000
Kwani umeshamshirikisha mpenzio!!?, embu jarbu mshirikisha, atakusema mpak utaacha. Ucsubiri akufumanie maan hatakuelewa kabisa na utampoteza
 

BAF

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
417
1,000
Punguza vichechezi vinavyokupelekea ktk Hilo mfano Porn zinakuwa kama catalyst za kukupeleka Kwenye Punyeto
 

The genius62

Senior Member
May 1, 2017
198
250
Paka pilipili mikono hiyo... ukijisahau ukashika dushe mara moja tuu utaacha,,,kuna mambo yanakushawishi kaa mbali nayo i,e porn video,,picha za uchi,, kukaa mwenyew avoids that
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom