Naomba ushauri: Nisomee kozi gani ya arts yenye soko kwa sasa?

Jun 14, 2016
50
14
Kwa jinsi Tanzania yetu Inavyokwenda kweny system ya elimu mfano kutopewa kipaumbele wanafunz wa masomo ya sanaa Unanishauri nisomee kitu gan chenye soko kama mwanafunzi wa masomo ya Sana'a (arts) na nikiwa namaliza kidato cha sita this year
 
Hahahahaa, kwa Tanzania hatuna formula, ukizingatia mpaka unamaliza chuo Raisi atakuwa Pombe. Mwafwaaa
 
project planning and management, Geography and environmental studies na health management
 
Kwa jinsi Tanzania yetu Inavyokwenda kweny system ya elimu mfano kutopewa kipaumbele wanafunz wa masomo ya sanaa Unanishauri nisomee kitu gan chenye soko kama mwanafunzi wa masomo ya Sana'a (arts) na nikiwa namaliza kidato cha sita this year
EDUCATION bruh no DISCUSSIONS kwa kuwa arts hata mikopo mwaka huu ni kwa mbinde
 
Mi nakushauri tena soma HGE halafu ukifika chuo mwezi wa 10 somea ualimu wa masomo haya au moja wapo uchumi (ECONOMICS) au GEOGRAGRHY kwa kuwa history hawatakiwi wako kama mvua
Ukishindwa hapo na uko chuo piga agriculture uwe mjasiriamali pia utatoka
 
Mi nakushauri tena soma HGE halafu ukifika chuo mwezi wa 10 somea ualimu wa masomo haya au moja wapo uchumi (ECONOMICS) au GEOGRAGRHY kwa kuwa history hawatakiwi wako kama mvua
ACHA UONGO MKUU... ECONOMICS NA GEOGRAPHY PIA HAWAHITAJIKI
 
ACHA UONGO MKUU... ECONOMICS NA GEOGRAPHY PIA HAWAHITAJIKI
Mkuu kwa hayoasomo mawili angalau yana walimu wachache ukilinganisha na history,language au kiswahili kwa hapo ana angalau matarajio kwa kuangalia na kombi yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom