Naomba ushauri: Nina Lengo la kuwa Mkufunzi wa Chuo

fuvu la paka

Senior Member
Mar 29, 2015
133
225
Wakuu hodi humu ndani
Nina omba ushauri kwa yeyote ambaye anataarifa au uzoefu nilimaliza undergraduate mwaka 2013, GPA ni Upper second ya 3.5 kwa mchepuo wa Elimu ikishabihiana na Psychology yaani Bachelor of education in psychology, kimsingi mimi ni Mwl kwa profession,

Ila kwa sasa Mungu amenisaidia namalizia Masters ya MBA MARKETING na lengo langu ni kufundisha vyuoni hata kama kuanzia vyuo vya Diploma..

Naomba Ushauti kwa wenzangu ambao mnakula mema ya nchi vyuoni huko nini kifanyike please.
 
ant robbery

Senior Member
Sep 14, 2016
111
225
dah ivi chuo kikuu kugumu sana eti maana mm nimesona computer science ordinary diproma but Nina GPA ya 3.94 kweli nitaweza chuo kikuu kweli kama nitachaguliwa
 
Masasaa

JF-Expert Member
Oct 23, 2015
464
500
Jaribu vyuo vya private, udom na mzumbe pia, wao huwa wanachukua gpa kuanzia 3.5,
 
May 26, 2013
67
95
Hivi nyi watu wa wapi jamani..mbona mnajitoa akili..tangu lini ukafundisha chuo kikuu na g.p.a ya 3.5

Unachoongea ni kweli kabisa , lakini lugha unayotumia sio ile aliyoitumia mtoa maada ilibid umueleze kwa ustaarabu sio kwa kumkashifu , sababu gpa 3. 5 ni kubwa tu ila kwa utaratibu wa nchi hii hawezi kufundisha chuo kikuu labda vyuo vya diploma.

Iko ivi kila chuo kinakuwa na utaratibu wao wa kupata walimu, mara nyingi vyuo vingi huwa wanachukua product zao wenyewe yaan wale wanafunzi wanaomaliza wakiwa na high performance kwa level ya first class (4. 4-5)
Wanafunzi hao uchukuliwa na kuendelezwa na chuo huku wakifundisha,
Mfano ukienda chuo kikuu ardhi hasa course ya LMV utakuta lectures wengi ni wale wanafunzi waliokuwa vipanga miaka hio kwa course husika
 
Horseman

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
436
500
Wakuu hodi humu ndani
Nina omba ushauri kwa yyte ambaye anataarifa au uzoefu nilimaliza undergraduate mwaka 2013, GPA ni Upper second ya 3.5 kwa mchepuo wa Elimu ikishabihiana na Psychology yaani BED PSYCHOLOGY= Bachelor of education in psychology, kimsingi mm ni Mwl kwa profession,
Ila kwa sasa Mungu amenisaidia namalizia Masters ya MBA MA
RKETING na lengo langu ni kufundisha vyuoni hata kama kuanzia vyuo vya Diploma.....
Naomba Ushauti kwa wenzangu ambao mnakula mema nchi vyuoni huko nini kifanyike plis....
Ukifanikiwa kuni PM Itakuwa nzuri sana
Boss umemaliza chuo gani. Mimi nakushauri embu jaribu kuchunguza maana vyuo vingi upenda kuajiri waliomaliza katika vyuo husika.

Anzia hapo halafu pakigoma jaribu kutuma maombi "for a teaching position". Mungu akutangulie.
 
MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,781
2,000
Unachoongea ni kweli kabisa , lakini lugha unayotumia sio ile aliyoitumia mtoa maada ilibid umueleze kwa ustaarabu sio kwa kumkashifu , sababu gpa 3. 5 ni kubwa tu ila kwa utaratibu wa nchi hii hawezi kufundisha chuo kikuu labda vyuo vya diploma.

Iko ivi kila chuo kinakuwa na utaratibu wao wa kupata walimu, mara nyingi vyuo vingi huwa wanachukua product zao wenyewe yaan wale wanafunzi wanaomaliza wakiwa na high performance kwa level ya first class (4. 4-5)
Wanafunzi hao uchukuliwa na kuendelezwa na chuo huku wakifundisha,
Mfano ukienda chuo kikuu ardhi hasa course ya LMV utakuta lectures wengi ni wale wanafunzi waliokuwa vipanga miaka hio kwa course husika
Mkuu nimekusoma
 
Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,230
2,000
Mkuu vyuo vingi kwa kufuatilia matangazo ya kazi GPA ni 4.0 mfano mzumbe..UDOM..UDSM...st joseph..tena wengine wakaenda mbali somo unaloenda kufundisha uwe na kuanzia B+. Kwa maelezo tafuta matangazo ya kazi ya vyuo husika nilivyotaja ya 2014 na 2015 uone kwa undani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom