Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,008
- 16,135
Ushauri mzuri kabisa nilienda kufanya masters nimemtumia almost 10 millions afu unarudi serikalini uko pale pale mshahara ule ule madaraja hakuna ushenzi mtupu bora ningeitia kwenye biashara ya maana.... Japo umepata elimu lakini ni ushenzi mtupu sekta binafsi inazorota serikalini hakuna maslahi daaah... Jamaaa hiyo pesa kama vipi atafute mradi mzuri azungushe tu pesaSasa kama hupo serikalini na unalipwa mshahara unaangaika na nn tena???Hizo pesa unazotaka kujisomesha wawekee wanao azina ya baadae ili waje wasome shule bora na sio bora shule.!Kwanza kusoma sn ni uoga wa maisha,
Pili kuna waliosoma sn mpaka ngazi ya masters au wanaitwa Prof wanamatatizo sn katika jamii.