Naomba ushauri: Nina division III ya 15, nataka kwenda kusoma Uganda kusoma

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
5,898
2,000
Sasa kama hupo serikalini na unalipwa mshahara unaangaika na nn tena???Hizo pesa unazotaka kujisomesha wawekee wanao azina ya baadae ili waje wasome shule bora na sio bora shule.!Kwanza kusoma sn ni uoga wa maisha,
Pili kuna waliosoma sn mpaka ngazi ya masters au wanaitwa Prof wanamatatizo sn katika jamii.
Ushauri mzuri kabisa nilienda kufanya masters nimemtumia almost 10 millions afu unarudi serikalini uko pale pale mshahara ule ule madaraja hakuna ushenzi mtupu bora ningeitia kwenye biashara ya maana.... Japo umepata elimu lakini ni ushenzi mtupu sekta binafsi inazorota serikalini hakuna maslahi daaah... Jamaaa hiyo pesa kama vipi atafute mradi mzuri azungushe tu pesa
 

Ngika90

Member
Jan 20, 2019
20
45
Ingia chuo cha social work na ingia nacte upate nakala za kil NTA LEVEL KWASSB NTA LEVEL 4 NI BASIC CERTIFICATE, NTA LEVEL 5 NI TECHNICIAN CERTIFICATE NA NTA LEVEL 6 NI ORDINARY DIPLOMA NA NTA LEVEL 7 NI ADVANCED DIPLOMA OR HIGHER DIPLOMA CJUI UMENIPT KWAHYO THUS Y UKITOK NTA LEVEL 6 NDIO UNARUHUSIWA KUINGIA LEVEL 7 MFNO CLINICAL MEDICINE ADVANCED DIPLOMA YAO INAITWA AMO (ASSISTANCE MEDICAL OFFICER)
Siyo kweli. NTA 7 ni bachelor kwa sasa ila zamani ilikuwa ni advanced diploma na ilikuwa ikitolewa na non university high learning institutions tuu
 

BenKaile

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
445
500
Mimi ni Mwalimu wa ngazi ya stashahada, mitihani wa kidato cha sita nilipata daraja la tatu yaani division 3 ya point 15, sasa kwa hali ya sasa ni kwamba siwezi kupata nafasi wakati nina principle pass 3, yaani EEE PCM.

Sasa nataka kwenda Uganda nisome hata maswala tofauti na education na vigezo vinakubalika popote ninapojaribu nje ya nchi, naruhusu ushauri.
KWA USHAHURI WA HARAKA KWANGU NI VYEMA KAMA ULIWEZA KUSOMA DEGREE ILA GPA IKAWA CHINI HIVYO NI KHERI KUJIUNGA NA COURSE NYINGINE CHUO NA UPAMBANE KWA BIDII ILIUPATE UFAULU MZURI WA HATA 3.5 KWENDA JUU. PIA KWA MATOKEO YA FORM 6 KWA KUJIUNGA NA CHUO JARIBU OPEN UNIVERSITY (OUT) WATAWEZA KUKUPA USHAURI MZURI HASA KWENYE SWALA LA FOUNDATION COURSE YA MWAKA MMOJA UANZE DEGREE MAPEMA. KWENDA UGANDA NA VYUO VYA NJE KAMA INDIA/CHINA/MALAYSIA/KENYA/SOUTH AFRICA/U.K NA CYPRUS UKIRUDI T.C.U WAKAFANYA VALUATION YA MATOKEO YAKO YA NJE NA STANDARD ZA HAPA BONGO AISEE UTAWEZA KUUMIA SANA HASA KWENYE AJIRA NA MICHONGO MINGINE SERIKALINI LABDA UKISHAPATA EXPOSURE NJE UJIONGEZE KWENYE KUJIAJIRI/UJASIRIAMALI UTATOKA ZAIDI.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom