Naomba ushauri: Nina bahati ya kuitwa kwenye usaili ila sipati kazi

mchai

Member
Jan 13, 2021
9
10
Naomba tu ushauri wa bure, huenda ukanipa mwanga. Mie yaani hadi leo hii nina interview more than ten Tanesco na kuna zingine najua kabisa hizi nimejibu well ila sijawahi hata kukosewa kuitwa kua nimepata na sifa wanazozitakaga nakuwa nazo.

Ninaabahati ya kuitwa kwa usaili ila kupata kazi sasa ndio bundiiii.
 
Kufanya kitu kile kile, kwa namna ile ile halafu kutegemea matokeo tofauti ni uwendawazimu (ni tafsiri yangu binafsi isiyo rasmi kwa maneno aliyowahi kuyasema mwanazuoni mmoja).

Katika hizo interview zote ulizofanya, je kila baada ya interview ulikua unafanya analysis na kuibua gaps ulizoziona kwa namna ulivyofanya interview na kujiboresha zaidi kwa interview inayofuata?

You have to be better with each interview that you attend. Is that the case? For example, can you say confidently kuwa you were better in your 9th interview compared to how you performed in your 2nd interview?

Huwa unafanya utafiti kuhusu organization uliyoitwa interview na kuhusu role uliyo apply? Huwa unaenda kwenye interview ukiwa unajua ABCDs za hiyo kampuni na unajua the job description ya nafasi uliyoomba?

Je, huwa unauliza maswali ukipewa nafasi ya kuuliza maswali (mara nyingi at the end of the interview)? Wengi huwa wanapoteza hii nafasi adhimu na kujibu kuwa hawana swali lolote, na hivyo kuwa wamepoteza chance adimu ya kuwaimpress wanaomu interview kwa kuwauliza maswali fikirishi kuhusu kampuni, na kuhusu role aliyoiomba.

What to do now?
1. Nakushauri, 'look in the mirror'. Kaa chini tafakari kwa kina na Fanya analysis Wewe mwenyewe kwa interviews ambazo umehudhuria mapungufu yako yalikua ni yapi? (Be fair and positive to urself). Use a pen and paper and list down ur weaknesses from the analysis of ur interviews, and for each weakness make a plan and decide on how u are going to improve on it

2. List down the commonest interview questions that you have faced so far (write down the commonest 10 questions which are the commonest that you were asked in your interviews)

3. Now, start working on the 10 questions and use various resources to find out the best answers to those questions (use You tube videos, internet sources and various experts in HR sector). Then make sure you have framework answers for those questions.

4. Next time you are invited for an interview, make sure you practise on how to answer such questions and other possible questions kulingana na position. Practise, practise, practise and practise.

I think I have written too much.
mchai
 
Nashuku saaana tena saaana kwa ushauri wako mkuu naiman nitaufanyia kazi kuanzia ivi sasa na juu yaa kuulizwa katika interview unaswali? Ni kweli nimekutana nalo saana ili swali mwisho wa mahojiano mala ya mwisho nkumbuka ilikua arusha, nikawajibu sina swali.
 
Dr. Wansegamila

Kudos kwako brother maana bila kujua unafeli wapi ni ngumu kujisahihisha. Njia nzuri zaidi, kama ana mtu wa karibu mwenye experience ni kheri wafanya kama review tu ya majibu yake kila baada ya interview ili imsaidie kufanya improvement ya kweli maana si kila mtu anaweza kujifanyia assessment na kujirekebisha.

Kingine asisahau pia kumuomba Mungu awaguse HR's ambao kwao interviews ni kama njia ya kuongeza kipato cha ziada lakini pia amtie ujasiri wa kutochukulia kila REJECTION ile PERSONAL. The fact ameitwa interviews zote hizo, inamaanisha he is good.
 
Hili la kipato cha ziada ndio linaniingiaga saana akili wako na dhamira iyoo saana na nitaendelea kumuomba mungu inshallah
 
Be confident whenever you meet the panelists...be conversant with organisational issues sio kumeza mambo yako ya first year!!!....be sure to explain and exhaust everything out of your common senses & not your school cramming abilities...be smart and with an appealing attitude whenever you attend the interview. Good luck.

N'yadikwa
 
Naomba tu ushauri wa bure, huenda ukanipa mwanga. Mie yaani hadi leo hii nina interview more than ten Tanesco na kuna zingine najua kabisa hizi nimejibu well ila sijawahi hata kukosewa kuitwa kua nimepata na sifa wanazozitakaga nakuwa nazo.

Ninaabahati ya kuitwa kwa usaili ila kupata kazi sasa ndio bundiiii.
Kuna mdau hapo juu kaeleza vizuri sana, yafanyie kazi. Lkn pia nakushauri ukiitwa interview uende kimya kimya kafanye kisha kaa kimya. Maana interview nyingi za kibongo zinafanywa for formality tu, wanakuwa wana watu wao tayari. Unless hiyo kampuni mtu mweupe/foreigners ndo wenye maamuzi ya mwisho. Omba Mungu, Fanya tu kisha endelea na mambo yako mengine.
 
Kufanya kitu kile kile, kwa namna ile ile halafu kutegemea matokeo tofauti ni uwendawazimu (ni tafsiri yangu binafsi isiyo rasmi kwa maneno aliyowahi kuyasema mwanazuoni mmoja)....
Maneno mazito sana.

Kimuktadha na kwa nukta yako nahisi ni rasmi tuu mjadala ufungwe sasa.

Au kama bado kuna wenye maoni tunawasikiliza
 
Pole Mimi nimeitwa interview mbili Moja nikapata nafasi pia inabidi ujifue zaidi na mwombe Mungu akupe kibali, usikate tamaa.
 
Upuuzi mtupu, nishafanya interview zaidi ya 10 na sikuwahi pata job. Kazi nazopata niza kupigiwa simu tu na kuingia mzigoni.
Well, to each his own.

Maana na mimi pia kazi zote nilizopata so far (nimeshafanya kazi mashirika matano so far); Zote nimezipata kwa kupitia kuitwa interview na kufaulu interview, na sijawahi kupata kazi kwa connection. King_mwanamalundi
 
Usikate tamaaa endelea kuattend interview za kutosha, malngo wa 99 huwenda ndio mlango
Naomba tu ushauri wa bure, huenda ukanipa mwanga. Mie yaani hadi leo hii nina interview more than ten Tanesco na kuna zingine najua kabisa hizi nimejibu well ila sijawahi hata kukosewa kuitwa kua nimepata na sifa wanazozitakaga nakuwa nazo.

Ninaabahati ya kuitwa kwa usaili ila kupata kazi sasa ndio bundiiii.
 
Pole na hongera ,mie nilikuwa naitwa kila interview tena jina la kwanza kabsa karibia zote ,na written nafanya vyema na sijawah toka top 5 kama wanachukua kuanzia 10 kwenda kwenye oral nimefanya sio chini ya saba kazi. Sipati kabsaa

Ila nikichojifunza nilikuwa Niko very happy kuingia top 10 na sipati frastuation nikikosa kazi kuliko kutoingia top 10 kwan kuna siku sikuingia niliumia vibaya mnoo

Ilaa nilichokuwa najisemea mie sio mbaya kwenye usaili sema sina bahati au siku yangu na njia yangu haijafika ,nafuta machozi naendelea na Mishe mishe huku nikiwa nimeweka msimamo hakuna usaili unaonihusu sintohuzulia au hakuna kukata tamaaaa .yote kwa yote siku database ikanikumbuka Mimi na rafiki angu

Ushuari ;: ukikosa Leo utapata kesho ya Leo sio ridhiki yako msingi endelea kuomba mungu na kutokata tamaa

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom