Naomba ushauri: Nimeshinda kesi ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu lakini nataka kukata rufaa

Assumption lazima iwe na correct premises, hakuna assumption ya primary court kutoa maamuzi katika mambo ya umiliki wa ardhi, nothing to be re-visited.

Sent using Jamii Forums mobile app
Primary court imetoa hukumu kwenye criminal case which is not disputed ndo mana nikashauri kama hajaridhika na hio hukumu aende DC and if anataka possession ya land aende DLHT iliyo eneo lake. Jifunze kusoma btwn lines.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes
Ambapo kama mliuziana chini ya mwenyekiti au mtendaji wa serikali ya mtaa husika, nae ataitwa na baraza la ardhi

Mliuziana kivipi kwanza? Chini ya serikali ya mtaa? Wenyewe binafsi tu? Au chini ya advocate?
Ujiulize kama serikali za mitaa wanatambua hayo mauziano je hao watu wana akili timamu au ni machizi? Unawezaje kuidhinisha documents za mauziano ya kiwanja kwa watu wawili tofauti na anaeuza ni yule yule alieuza mwanzo?
 
Back
Top Bottom