Naomba ushauri nimeambukizwa gonnorehea

hiyo gonnoreha ni yako wewe,

mwanaume awezi akadumu na gonnoreha ata masaa 5 toka ambukizwe na mbolooooo aiwezi simama,

Alikufanya vipi ikiwa masaa machache toka ambukizwe dudu uvimba na kuweka malengelenge kwenye kichwa ata nguo ikiguza lazima apate maumivu, je aliwezaje kusuguana na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilienda hospital nimepewa dawa lakini azijanisaidia kitu mpaka saizi na saizi nipo vijijini Ki kazi kazi kama kuna mtu anafahamu dawa kwa jina au za sindano kwa jina anambie kwa mwanamke
ipo tiba ya vidonge na ipo tiba ya sindano, nenda hospital huu ugonjwa unatibika na matibabu yake ni rahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani Nimeambukizwa gonnorehea Singida nilivyoenda kikazi na mwanaume Mmoja ivi

amabaye tulikua nae Huko kikazi Naomba Msaada kwa anaye fahamu dawa ambayo itaondoa kabisa Huu ugonjwa jamani.

kama kuna mtu ashawahi pata huu ugonjwa alipona kwa dawa hipi aniambie

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwi na gono kipi afadhari? Umepima kama ujaambukizwa ngoma? Unalialia na gono ukisikia kakuambukiza ngoma itakuwaje? Hata hivyo gono kwa wanawake wengi ni macarriers madhara ya gono kujitokeza kwa wanawake uchukua muda mrefu sana! Sasa usije kuta uliambukizwa muda mrefu saaana na sasa ndo madhara yanaanza kujitokeza alafu unamsingizia mshua!
 
Back
Top Bottom