muyakb24
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 412
- 275
Jamani nimeambukizwa Gonnorehea nilivyoenda kikazi Singida na mwanaume Mmoja hivi amabaye tulikua nae huko kikazi.
Naomba Msaada kwa anaye fahamu dawa ambayo itaondoa kabisa huu ugonjwa jamani. Kama kuna mtu ashawahi pata huu ugonjwa alipona kwa dawa hipi aniambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba Msaada kwa anaye fahamu dawa ambayo itaondoa kabisa huu ugonjwa jamani. Kama kuna mtu ashawahi pata huu ugonjwa alipona kwa dawa hipi aniambie
Sent using Jamii Forums mobile app