uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,649
- 26,379
Habari za asubuhi wadau!
Nimepoteza cheti changu cha form four, form Six na cha chuo pamoja na transcript. Nimejaribu tafuta contact za Wizara ila naona namba hazipo active, najua hapa wote mpo, nisaidieni tu kujua official means za kutafuta vyeti vyangu!
Natanguliza shukrani, naomba tu mnaojua mnisaidie maana sitaki kubahatisha kusafiri bila kuwa na utaratibu sahihi.