Naomba ushauri nichukue king'amuzi gani kati ya DStv, Startimes na Azam TV

Kwa muda nimekua naona nyumban wakitumia dstv but baadae wakaongeza Azam kiukweli azam kaleta mapinduzi makubwa sana kwa sasa ntakwambia nenda Azam kwanza wameshusha bei, pili wanachannel zile za ndani kama ITV, EATV unazipata bure ata kifurushi kikikata ila DSTV sahau.

DSTV wana gharama sana na wengi kule wanafata channel za mpira na baadhi ya channel kama CBS reality ( kwangu mimi napenda kipindi cha border patrol pamoja na Hardcore pawn uku nkiangalia na kipindi cha American chopper izo ndio channel zinazonivutia DSTV mbali na zile za movie ila now naanza penda sana AZAM coz wana channel nzuri sana nyingi kwa bei chee
 
Mimi sio mpenzi wa soka lakini startimes wanaonyeshaga la liga pia wanazo channel zangu ndio maana sifikilii kununua king'amuzi kingine

Discovery family HD
Real time
ID
NGC
NGW
ALjaazila
Sky news
Zee
Fine living
Hizo zilizotafsiliwa kiswahili nawaachiaga dada wa kazi ndio anazipendaga
 
Azam kuna
1. Carabao cup
2. FA cup
3. Laliga
4. Ligi ya uholanzi (ESPN)
5. Ligi ya Turkey
6. Ligi ya Belgium
7. Championship
8. Channel maalum ya Boxing
9. Channels mbalimbali za movies na tamthiliya.
Azam haina mshindani...

Sent using Jamii Forums mobile app
Zote ulizotaja apo zipo mkuu....cz hta startimes kuna ESPN 1 NA 2...BOXING IPO....TAMTHILIA NDO USISEME....YAAN AZAM HANA ALICHOMZIDI STARTIMES ZAID YA LIGI YA BONGO ILA STARTIMES KAMZIDI AZAM...CZ UEFA NATIONS LEAGUE...EURO..WORLD CUP..KLABU BINGWA DUNIA...COPA AMERICA....COPPA ITALIA ...COPA DEL RAY....FA...CARABAO ...EUROPA LEAGUE..FRANCE LEAGUE 1..COPA DE FRANCE CUP ...NA LIGI YA BELGIUM NA UHOLANCE +UTURKEY...NA BAADHI YA GEMU ZA SCOTLAND..UHAKIKA ALL GAMES
 
Wapendwa mnaotumia aina hizo za ving'amzi, kwetu ndo umeme umeingia, naomba ushauri nichukie kingamzi kipi?

Naomba kufahamishwa bei ya kununua kingamzi husika (dish+decoder), local chanels zinazopatikana hasa kwa DSTV na bei ya vifurushi kwa mwezi.

Asanteni.
Chukua dstv
 
Binafsi Star times sijaitumia kitambo kwa sasa naangalia movie tu hats taarifa ya habari siangalii tena, nikipata mgeni nawekaga kifurushi cha 21,000 ila hakinifanyi niangalie TV.
Kwa ushauri wa humu, ntajisogeza Azam nione wana nn jipya
 
Azam walianza vizuri sana ila sasa nataka nikigawe king'amuzi chao,yaani channels kibao wamezitoa ,hakuna Nigeria movie AMC /Star etc zote wameondoa ,Fox hakuna , Fine living,E! Ent wameondoa yaani full utopolo.
 
Back
Top Bottom