Naomba ushauri nichague simu ipi kati ya Tecno na Samsung katika duka la Tigo

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
655
164
Wadau habari,

Nataka kununua simu duka la tigo, sasa naomba ushauri kati ya tecno spark3 pro na samsung A10s maana zote naona sifa zinafanana.

Nichukue ipi?
 
ACHA MATUSI MKUU HUWEZI FANANISHA SAMSUNG NA TECNO HEBU KACHUKUE A10 YAKO
 
Kuhusu batery vipi haipati moto kama baadhi ya simu za Samsung!
 
Back
Top Bottom