Naomba ushauri nichague kozi ipi kati ya hivi maana nimevurugwa

Escotter20

JF-Expert Member
Jul 20, 2020
452
792
Wakabwa poleni na majukumu,

Mimi mdogo wenu nimechaguliwa kozi ya Botanical Science UDSM na mkopo nimepata asilimia zote lakini pia kuna chuo nimepata diploma ya medical labaratory, kulingana na uzoefu wenu wakubwa wa kupima uzito wa hizo kozi mbili je niende wapi?

Mimi ndoto zangu zlikua kua daktari na bahati mbaya nimekosa vyuo vyote degree (private na government) na matokeo yangu yalikua div2 pt ya 10 .

Nisaidieni jamani kwa ushauri🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Kwa Kipindi hiki ajira ni changamoto kubwa, kuna madaktari wamehitimu na wapo nyumbani, mi nachokushauri nenda udsm but ukipata huo mkopo utumie vizuri maana wapo watu wengi tu waliotoboa maisha kupitia ilo boom.
 
Kwa Kipindi hiki ajira ni changamoto kubwa...kuna madaktari wamehitimu na wapo nyumbani, mi nachokushauri nenda udsm but ukipata huo mkopo utumie vizuri maana wapo watu wengi tu waliotoboa maisha kupitia ilo boom
Asante kiongozi
 
Sijui kwanini hukuomba Medical laboratory au Nursing Bachelor!! Anyway nakushauri nenda Medical lab!!
 
Wakabwa poleni na majukumu,

Mimi mdogo wenu nimechaguliwa kozi ya Botanical Science UDSM na mkopo nimepata asilimia zote lakini pia kuna chuo nimepata diploma ya medical labaratory, kulingana na uzoefu wenu wakubwa wa kupima uzito wa hizo kozi mbili je niende wapi?

Mimi ndoto zangu zlikua kua daktari na bahati mbaya nimekosa vyuo vyote degree (private na government) na matokeo yangu yalikua div2 pt ya 10 .

Nisaidieni jamani kwa ushauri🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nenda kapige botanical science. Ukimaliza degree yako unakua a botanist (mtaalamu wa sayansi ya mimea). Kwa nini nimesema hivi?
Field hii inaendelea ku expand kwa nchi yetu (bado ni changa kiaina-So watu wengi hawatakuelewa hata ukiwaambia unachosomea, ila cha msingi ni WEWE kuelewa hasa unachokwenda kusomea)-Ila you can imagine the opportunities it offers kwa nchi kama yetu ambayo kilimo kinafanyika sana (kwa small scale na large scale pia)-Mfano unaweza kujikita katika kuanzisha ka-kampuni ambapo unakua unatoa ushauri wa kitaalamu kwa wakulima ili kuboresha mazao na mavuno yao. Lakini pia, unaweza wewe mwenyewe kuingia front na kufanya kilimo cha kisasa kwa kutumia elimu yako ya botany.

Hapa sijaongelea fursa mbalimbali za kuajiriwa kwenye organizations zinazojihusisha na kilimo na masuala ya tafiti za kilimo pia kama vile SUA, TAFIRI, FAO, International Institute of Tropical Agriculture (IITA), etc. Pia unaweza kufanya kazi katika organizations mbalimbali zinazofanya kazi zinazohusiana na mazingira na ecology kwa ujumla. Imagine masuala ya climate na ecology yanavyo trend sasa hivi dunia nzima!!

Kasome hiyo kozi, ila uanze kujiongeza mapema (Connect na wataalamu ambao wamesoma hayo mambo ambao tayari wako mbele yako, jifunze mambo mengi zaidi kuhusu fani yako na paths tofauti tofauti unazoweza kuchukua mbele ya safari in your career, wakati uko chuo bado tafuta vi-short courses na certifications mbalimbali zinazohusiana na hiyo fani na uzipige-kuna short courses na certifications nyingi nyingi tu unaweza kufanya online, etc, etc). Mimi naweza kukuunganisha na li guru limoja hivi lenyewe ni plant pathologist, limepiga masters ya hayo mambo ya elimu ya mimea SUA hapo sasa hivi linafanya kazi FAO (hili guru nilipiga nalo PCB A level).

Vijana wengi wanaoenda na walioko vyuoni shida moja kubwa kwa bongo ni kukosa CAREER GUIDANCE AND MENTORSHIP, yaani anakua hana muongozo wowote zaidi ya kuingia darasani, kusikiliza lectures na kusinzia. Ndo yale unasikia mtu muda wa kutafuta field, hata hajui aombe field makampuni gani maana hajui anachosomea anakuja kuwa nani!

Hii ni shida kubwa sana kwa vijana wetu. Pata guidance sahihi tangu wakati unaenda chuo awepo mtu ambae amesoma kitu kama unachoenda kusomea ambae anaku guide, kukushauri na kukupitisha kwenye njia sahihi ili unapomaliza uwe guru kweli kweli, na sio "average Joe"

Mawazo yangu mimi ndio hayo mzee baba.

chimbo boy
 
Pole sana maisha ndivyo yalivyo unaweza ukatarajika hiki but reality kina kuja kile so cha msingi kwa sasa fuata kitu ambacho kitakupa faida hapo baadaye

Botanical science sina uhakika na hii course kama ajira zitakuwepo kwasababu hata unaweza mchukua first year wa kozi hii ukimuuliza field unaenda kufanyia wapi hata hajui lakini navyofahamu juu juu hii course inahusu mimea.

Medical laboratory hii ni nzur kwasababu wataalumu wa kozi hii wapo wachache na ajira zipo nje nje tena huwaga haichagui diploma au degree ajira nje nje pia unaweza kujiajiri kwa haraka zaidi pia kama ndoto zako zilikuwa kusoma college ya afya ni bora huende kozi hii.
 
Nenda kapige botanical science. Ukimaliza degree yako unakua a botanist (mtaalamu wa sayansi ya mimea). Kwa nini nimesema hivi?
Field hii inaendelea ku expand kwa nchi yetu (bado ni changa kiaina-So watu wengi hawatakuelewa hata ukiwaambia unachosomea, ila cha msingi ni WEWE kuelewa hasa unachokwenda kusomea)-Ila
botanical science hii inahusina ana mambo ya nini mkuu?

you can imagine the opportunities it offers kwa nchi kama yetu ambayo kilimo kinafanyika sana (kwa small scale na large scale pia)-Mfano unaweza kujikita katika kuanzisha ka-kampuni ambapo unakua unatoa ushauri wa kitaalamu kwa wakulima ili kuboresha mazao na mavuno yao. Lakini pia, unaweza wewe mwenyewe kuingia front na kufanya kilimo cha kisasa kwa kutumia elimu yako ya botany. Hapa sijaongelea fursa mbalimbali za kuajiriwa kwenye organizations zinazojihusisha na kilimo na masuala ya tafiti za kilimo pia kama vile SUA, TAFIRI, FAO, etc. Pia unaweza kufanya kazi katika organizations mbalimbali zinazofanya kazi zinazohusiana na mazingira na ecology kwa ujumla. Imagine masuala ya climate na ecology yanavyo trend sasa hivi dunia nzima!!
Kasome hiyo kozi, ila uanze kujiongeza mapema (Connect na wataalamu ambao wamesoma hayo mambo ambao tayari wako mbele yako, jifunze mambo mengi zaidi kuhusu fani yako na paths tofauti tofauti unazoweza kuchukua mbele ya safari in your career, wakati uko chuo bado tafuta vi-short courses na certifications mbalimbali zinazohusiana na hiyo fani na uzipige-kuna short courses na certifications nyingi nyingi tu unaweza kufanya online, etc, etc). Mimi naweza kukuunganisha na li guru limoja hivi lenyewe ni plant pathologist, limepiga masters ya hayo mambo ya elimu ya mimea SUA hapo sasa hivi linafanya kazi FAO (hili guru nilipiga nalo PCB A level).
Mawazo yangu mimi ndio hayo
Sijui kwanini hukuomba Medical laboratory au Nursing Bachelor!! Anyway nakushauri nenda
Mkuu nashukuru kwa maoni yenu..ki uhalisia sikuomba kozi moja nliomba kozi nying hata nursing ;nashukuruni kwa maoni yamenipa mwanga japo bado nahitaji ushauri wenu .. mpaka ssa vyuo vimefunguliwa na sijaripoti kokote sababu bado nahitaji ushauriii kotoka kwenu wakuu🙏🙏🙏🙏🙏
 
Nenda kapige botanical science. Ukimaliza degree yako unakua a botanist (mtaalamu wa sayansi ya mimea). Kwa nini nimesema hivi?
Field hii inaendelea ku expand kwa nchi yetu (bado ni changa kiaina-So watu wengi hawatakuelewa hata ukiwaambia unachosomea, ila cha msingi ni WEWE kuelewa hasa unachokwenda kusomea)-Ila you can imagine the opportunities it offers kwa nchi kama yetu ambayo kilimo kinafanyika sana (kwa small scale na large scale pia)-Mfano unaweza kujikita katika kuanzisha ka-kampuni ambapo unakua unatoa ushauri wa kitaalamu kwa wakulima ili kuboresha mazao na mavuno yao. Lakini pia, unaweza wewe mwenyewe kuingia front na kufanya kilimo cha kisasa kwa kutumia elimu yako ya botany. Hapa sijaongelea fursa mbalimbali za kuajiriwa kwenye organizations zinazojihusisha na kilimo na masuala ya tafiti za kilimo pia kama vile SUA, TAFIRI, FAO, International Institute of Tropical Agriculture (IITA), etc. Pia unaweza kufanya kazi katika organizations mbalimbali zinazofanya kazi zinazohusiana na mazingira na ecology kwa ujumla. Imagine masuala ya climate na ecology yanavyo trend sasa hivi dunia nzima!!
Kasome hiyo kozi, ila uanze kujiongeza mapema (Connect na wataalamu ambao wamesoma hayo mambo ambao tayari wako mbele yako, jifunze mambo mengi zaidi kuhusu fani yako na paths tofauti tofauti unazoweza kuchukua mbele ya safari in your career, wakati uko chuo bado tafuta vi-short courses na certifications mbalimbali zinazohusiana na hiyo fani na uzipige-kuna short courses na certifications nyingi nyingi tu unaweza kufanya online, etc, etc). Mimi naweza kukuunganisha na li guru limoja hivi lenyewe ni plant pathologist, limepiga masters ya hayo mambo ya elimu ya mimea SUA hapo sasa hivi linafanya kazi FAO (hili guru nilipiga nalo PCB A level).
Vijana wengi wanaoenda na walioko vyuoni shida moja kubwa kwa bongo ni kukosa CAREER GUIDANCE AND MENTORSHIP, yaani anakua hana muongozo wowote zaidi ya kuingia darasani, kusikiliza lectures na kusinzia. Ndo yale unasikia mtu muda wa kutafuta field, hata hajui aombe field makampuni gani maana hajui anachosomea anakuja kuwa nani! Hii ni shida kubwa sana kwa vijana wetu. Pata guidance sahihi tangu wakati unaenda chuo awepo mtu ambae amesoma kitu kama unachoenda kusomea ambae anaku guide, kukushauri na kukupitisha kwenye njia sahihi ili unapomaliza uwe guru kweli kweli, na sio "average Joe"
Mawazo yangu mimi ndio hayo mzee baba.
chimbo boy
Asante sana kiongozi 🙏🙏🙏🙏
 
Nenda kapige botanical science. Ukimaliza degree yako unakua a botanist (mtaalamu wa sayansi ya mimea). Kwa nini nimesema hivi?
Field hii inaendelea ku expand kwa nchi yetu (bado ni changa kiaina-So watu wengi hawatakuelewa hata ukiwaambia unachosomea, ila cha msingi ni WEWE kuelewa hasa unachokwenda kusomea)-Ila you can imagine the opportunities it offers kwa nchi kama yetu ambayo kilimo kinafanyika sana (kwa small scale na large scale pia)-Mfano unaweza kujikita katika kuanzisha ka-kampuni ambapo unakua unatoa ushauri wa kitaalamu kwa wakulima ili kuboresha mazao na mavuno yao. Lakini pia, unaweza wewe mwenyewe kuingia front na kufanya kilimo cha kisasa kwa kutumia elimu yako ya botany.

Hapa sijaongelea fursa mbalimbali za kuajiriwa kwenye organizations zinazojihusisha na kilimo na masuala ya tafiti za kilimo pia kama vile SUA, TAFIRI, FAO, International Institute of Tropical Agriculture (IITA), etc. Pia unaweza kufanya kazi katika organizations mbalimbali zinazofanya kazi zinazohusiana na mazingira na ecology kwa ujumla. Imagine masuala ya climate na ecology yanavyo trend sasa hivi dunia nzima!!

Kasome hiyo kozi, ila uanze kujiongeza mapema (Connect na wataalamu ambao wamesoma hayo mambo ambao tayari wako mbele yako, jifunze mambo mengi zaidi kuhusu fani yako na paths tofauti tofauti unazoweza kuchukua mbele ya safari in your career, wakati uko chuo bado tafuta vi-short courses na certifications mbalimbali zinazohusiana na hiyo fani na uzipige-kuna short courses na certifications nyingi nyingi tu unaweza kufanya online, etc, etc). Mimi naweza kukuunganisha na li guru limoja hivi lenyewe ni plant pathologist, limepiga masters ya hayo mambo ya elimu ya mimea SUA hapo sasa hivi linafanya kazi FAO (hili guru nilipiga nalo PCB A level).

Vijana wengi wanaoenda na walioko vyuoni shida moja kubwa kwa bongo ni kukosa CAREER GUIDANCE AND MENTORSHIP, yaani anakua hana muongozo wowote zaidi ya kuingia darasani, kusikiliza lectures na kusinzia. Ndo yale unasikia mtu muda wa kutafuta field, hata hajui aombe field makampuni gani maana hajui anachosomea anakuja kuwa nani!

Hii ni shida kubwa sana kwa vijana wetu. Pata guidance sahihi tangu wakati unaenda chuo awepo mtu ambae amesoma kitu kama unachoenda kusomea ambae anaku guide, kukushauri na kukupitisha kwenye njia sahihi ili unapomaliza uwe guru kweli kweli, na sio "average Joe"

Mawazo yangu mimi ndio hayo mzee baba.

chimbo boy
Safi sana ushauri mzuri wangepatikana watu kama nyie kumi ingekuwa n njia nzuri kwa mafanikio ya vijana
 
Nenda udsm ,ila ukifika badili kozi usome hata education in science. Yani division 2 ukasome na vilaza huko diploma?
 
Yaani umepata mkopo asilimia 100 halafu unauliza maswali ya kipuuzi! Kweli umevurugwa!

Mwenye akili timamu haambiwi la kufanya hapo!!
 
Safi sana afate ushauri huu
Nenda kapige botanical science. Ukimaliza degree yako unakua a botanist (mtaalamu wa sayansi ya mimea). Kwa nini nimesema hivi?
Field hii inaendelea ku expand kwa nchi yetu (bado ni changa kiaina-So watu wengi hawatakuelewa hata ukiwaambia unachosomea, ila cha msingi ni WEWE kuelewa hasa unachokwenda kusomea)-Ila you can imagine the opportunities it offers kwa nchi kama yetu ambayo kilimo kinafanyika sana (kwa small scale na large scale pia)-Mfano unaweza kujikita katika kuanzisha ka-kampuni ambapo unakua unatoa ushauri wa kitaalamu kwa wakulima ili kuboresha mazao na mavuno yao. Lakini pia, unaweza wewe mwenyewe kuingia front na kufanya kilimo cha kisasa kwa kutumia elimu yako ya botany.

Hapa sijaongelea fursa mbalimbali za kuajiriwa kwenye organizations zinazojihusisha na kilimo na masuala ya tafiti za kilimo pia kama vile SUA, TAFIRI, FAO, International Institute of Tropical Agriculture (IITA), etc. Pia unaweza kufanya kazi katika organizations mbalimbali zinazofanya kazi zinazohusiana na mazingira na ecology kwa ujumla. Imagine masuala ya climate na ecology yanavyo trend sasa hivi dunia nzima!!

Kasome hiyo kozi, ila uanze kujiongeza mapema (Connect na wataalamu ambao wamesoma hayo mambo ambao tayari wako mbele yako, jifunze mambo mengi zaidi kuhusu fani yako na paths tofauti tofauti unazoweza kuchukua mbele ya safari in your career, wakati uko chuo bado tafuta vi-short courses na certifications mbalimbali zinazohusiana na hiyo fani na uzipige-kuna short courses na certifications nyingi nyingi tu unaweza kufanya online, etc, etc). Mimi naweza kukuunganisha na li guru limoja hivi lenyewe ni plant pathologist, limepiga masters ya hayo mambo ya elimu ya mimea SUA hapo sasa hivi linafanya kazi FAO (hili guru nilipiga nalo PCB A level).

Vijana wengi wanaoenda na walioko vyuoni shida moja kubwa kwa bongo ni kukosa CAREER GUIDANCE AND MENTORSHIP, yaani anakua hana muongozo wowote zaidi ya kuingia darasani, kusikiliza lectures na kusinzia. Ndo yale unasikia mtu muda wa kutafuta field, hata hajui aombe field makampuni gani maana hajui anachosomea anakuja kuwa nani!

Hii ni shida kubwa sana kwa vijana wetu. Pata guidance sahihi tangu wakati unaenda chuo awepo mtu ambae amesoma kitu kama unachoenda kusomea ambae anaku guide, kukushauri na kukupitisha kwenye njia sahihi ili unapomaliza uwe guru kweli kweli, na sio "average Joe"

Mawazo yangu mimi ndio hayo mzee baba.

chimbo boy
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom