Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba ushauri ndugu zangu ya kufungua biashara ya stationary

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by wanan, May 12, 2011.

 1. w

  wanan Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Naomba ushauri ndugu zangu ya kufungua biashara ya stationary mkoa wa songea je inalipa jaman tafadhali sana niambie kabla sijapoteza haka kapesa kangu kamkopo
   
 2. D

  Danniair JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Biashara nyingi faida zake ni kati ya Tsh, 30/= na 300/=. Kama utapata sehemu (location) nzuri, bei zako zikawa si za KiTAMAA TAMAA, basi utatoka. Ukipata na Photo copy machine itakuwa nzuri sana. Ila zile card usizianike bila kuzifungia ndani ya nailoni kwani zitapauka. Ukipata na ka-kompyuta basi katakusaidia sana. Hongera
   
Loading...