Naomba ushauri nataka nibadilishane Xtrail kwa Vits au Starlet

Njoo nkupe hii

20200721_135014.jpg
 
Habari zenu wana jukwaa,

Nimekuja kuomba ushauri wenu, nina Xtrail 2001 cc 1990 , lakini nataka badilishane na mtu (nikimpata) anipe vitz au starlet, yote hii ni kwa sababu xtrail kwangu mimi ni kubwa katika kuendesha lakini pia nahitaji gari yenye CC ndogo tu, na ya kutembelea mjini sina route za nje ya mkoa

Je, nitakua nafanya jambo la busara? na je itawezekana yaan kwa comparison ya bei?

Mimi ninayo starlet. Sema unaniongezea shing ngapi kwenye hiyo xtrail tufanye biashara?
 
Mimi ninayo starlet. Sema unaniongezea shing ngapi kwenye hiyo xtrail tufanye biashara?
Believe me;Hapa hamna cha Xtrail wala nn,Ni story za kufurahisha genge tu-Tangu mwanzo nilivyosoma story yake nilijua tu hamna biashara.Full stop.
 
Back
Top Bottom