Naomba ushauri nataka nibadili kozi ya RTT Muhimbili

Copolla

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
232
569
Wakuu poleni na majukumu ila nilikuwa naomba mchango wenu kweny jambo ambalo nataka kulifanya kwamba je litakuwa na faida mbeleni.

Mimi nimemaliza form six saa hizi ndio naapply vyuo, nimeapply vyuo vingi tu ila Muhas (muhimbili) nataka niapply kozi inaitwa Bsc.in Diagnostic and Therapeutic Radiography ambayo mwanzo ilikuwa inaitwa Bsc in radiation therapy technology kifupi radiotherapy ambayo wameiongezea mtaala na kufanya iwe pana zaidi na kuliko ya previous ambayo ndo radiotherapy.

Sasa hii kozi ipo na bugando sema huko inaitwa Bsc in medical imaging and radiotherapy majina tofauti ila ni kitu kilekile na ilianza mwaka Jana kutolewa bugando ko wako wanaomalizia first year tu sema Muhas nao wakaona isiwe kesi ngoja na sisi tupanue kozi yetu ile ya radiotherapy iwe kama yao ndo wakafanya hivo na inaanza mwaka huu November.

sasa wana JF mm nilisha apply dentist Muhas nataka nibadili niieke hii kozi inayoanza mwaka huu, je nafanya jambo sahihi? Na je hii kozi itakuja kuwa na ajira mbeleni? Maana diploma za hii kozi zipo Muhas na Bugando sema degree Bugando wameanzisha mwaka Jana na Muhas mwaka huu. Nimesoma PCB nna I ya 8....please naombeni mawazo yenu

Note; Mimi nshachoka na mambo ya ndoto na hobbies nataka nisome kitu chenye manufaa mbeleni kwaio ntazingatia ushauri wowote ule wenye tija
 
Kwa div one pts 8 ,Nakuhakikishia hutapata muhas,, anyway all the best
 
Ushauri wangu acha hiohio dentistry,sababu ni wachache sana wengi ni diploma tu,,,na unaweza ukaongeza kuomba na suza hio dentistry
 
'Suza' ndo chuo gan kaka sikijui
Kwa div one pts 8 ,Nakuhakikishia hutapata muhas,, anyway all the best
Unamaanisha nn Dada, kama unasemea MD mm sina shida nayo, eleza vizur nikuelewe sio unasema tuu alaf hutoi reasons kwahio walio ingia mwaka Jana na I za 9 RTT ni majini au??
Na hao walioingia muhas kozi ya dentist mwaka jana na I ya 8 ni majini pia??
 
Ushauri wangu acha hiohio dentistry,sababu ni wachache sana wengi ni diploma tu,,,na unaweza ukaongeza kuomba na suza hio dentistry
Nashukuru ushauri mzuri bro ndo maana nikachagua dentist Mara ya kwanza ila shida ni kwamba kozi inaweza kuwa na watu wachache ila vilevile ikawa haihitaji watu wengi mtaani vilevile
 
Kwa mtazamo wangu dentistry pia ipo vizurii tu sababu kila penye hospitali lazima pawe na mtaalamu wa meno na ukizingatia wapo wachache sana halafu unaweza ukajisjir kirahisi ...at the same time pia io radiology pia sio mbaya sababu pia wanahitajika ni wewe tu kufanya maamuzi kati ya hizo...SUZA ni state university of Zanzibar
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom