MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Chukua Tvs. Spea zake zinadumu sana japo bei ziko juu kidogo, pia ununuaji wa spea unategemea na handling yako. Na umakini katika services ndogo ndogo km oil, plugs nk. Ukipuuza service ndogo ndogo lazima ugharimike sana spea.

Ni mwaka wa 4 natumia Tvs Hlx 125. Nimeshatembea km 67000. Ila Spea nilizokwisha badili mpaka sasa ni tairi ya nyuma, sprockets na mnyororo, clutch cable na plugs.

Nakushauri chukua tvs. Ukiijali hata ishu za spea sio deal kivile.
Duuuh kwel.......... Ss hapa tvs vs boxer
 
Natumia TVS 150 kwa mwaka mzima sasa, hakuna kitu nilichobadilisha zaidi ya mfuniko( koki) ya oil iliyovunjwa na fundi asiyejielewa. Nimetembea 21000km Hadi sasa. Naenda kwenye mihangaiko yangu ambayo ni 30km. Kwenda na kurudi naweka 1 lita . Ila nilichogundua matumizi ya mafuta yanategemeana na speed.

Kwa mfano nikiweka hiyo Lita 1 nikatembea speed ya 80 -100 , hiyo Lita sitafika nyumbani siku hiyo. Ila ukitembea 60-70 mafuta yanabaki kibao
 
Ila Nina jamaa zangu wanatumia TVS 125. Wao mafuta ndo hatari. Ni Kama inanusa tu. Ila Kama safari zako ni za milimani Kama Mimi TVS 150 ndo habari ya huko milimani. Unaweza panda mlima umepakia mshikaki na speed ya 70 Hapo upo namba 4 bila wasiwasi
 
Natumia TVS 150 kwa mwaka mzima sasa, hakuna kitu nilichobadilisha zaidi ya mfuniko( koki) ya oil iliyovunjwa na fundi asiyejielewa. Nimetembea 21000km Hadi sasa.Naenda kwenye mihangaiko yangu ambayo ni 30km. Kwenda na kurudi naweka 1 lita . Ila nilichogundua matumizi ya mafuta yanategemeana na speed. Kwa mfano nikiweka hiyo Lita 1 nikatembea speed ya 80 -100 , hiyo Lita sitafika nyumbani siku hiyo. Ila ukitembea 60-70 mafuta yanabaki kibao
So ni bora kuliko boxer?
 
Ila Nina jamaa zangu wanatumia TVS 125. Wao mafuta ndo hatari. Ni Kama inanusa tu. Ila Kama safari zako ni za milimani Kama Mimi TVS 150 ndo habari ya huko milimani. Unaweza panda mlima umepakia mshikaki na speed ya 70 Hapo upo namba 4 bila wasiwasi
Duuh... Inahamasishaaa aisee...... Wanasema boxer miliman inachoka haraka..... Kwel!??
 
Duuh... Inahamasishaaa aisee...... Wanasema boxer miliman inachoka haraka..... Kwel!??
Yaani Hapo kwenye milima TVS inatembea. Kiufupi nikiwa kwenye mishe zangu hakuna sehemu nakwama. Ila inahitaji uangalifu zinatembea sana
 
Asanteni kwa ushaur, ss najua nichukue ip!!.....

Ss naomba kutolewa ushamba juu ya nn cha kufanya baada ya kununua chombo cha moto mfano pkpk au gari, iwe mpya na ikiwa used/second hand.....,, @All
 
1. Tvs kwenda km 60 kwa lita ni sahihi kabisa na inaweza fika 70km, it's 125 cc compared to boxer hizi za siku hizi.
2. Tvs haina tofauti sana na boxer kwa sifa ambazo nilizitaja huko juu kuanzia starehe, kutokuwa na vibration, uimara wa spare nk (zote mtengenezaji ni mhindi). Tofauti iliyopo kati ya pkpk hizi ni muonekano na speed. Boxer inachanganya kwa haraka sana na speed ya kutosha nafikiri unajua kuwa ndio mana zilikuwa zinatumika sana na wahalifu....nafikiri mpaka sasa hata vijana wanaopora mabegi na simu za watu huwa wanatumia boxer mara nyingi:D
3. Haojue is good ila kama ni kwa biashara, lkn kama ni matumizi binafsi sikushauri sana(hapa ni kwa ajili ya status)
4. Honda ace: huu ni mziki mwingine kabisa, sina uzoefu kwa matoleo yaliyopita lakin mimi natumia honda ace125 toleo la 2017 ya kazini, ni tamu sana kuanzia ustarehe, uimara, mafuta kiduchu nk. Hizi zinatengenezwa na mjapani lakini mchina pia naye amegonga copy zake ambazo huwezi tofautisha na ya mjapan, zipo kwa kiwango kilekile kinachofanana na za japani, nasema hivyo kwasababu nnayotumia ni ya mchina na nmetumia mwaka mmoja bila kugundua kama ni ya mchina mpaka baada ya kupitia manual yake vizuri lakin still iko vizuri haijawahi kubadilishwa spare ya aina yoyote ile zaidi ya kumwaga oil tu
Honda click au verion unazijua?
 
Hapana kiongozi hizo sina uzoefu nazo!
Hazina mnyororo na ni auto
IMG-20190524-WA0062.jpeg
 
Tvs ndo mpango, ina nguvu na inadumu sana, na muonekano safi. Hata fuel consumption iko vizuri. Hata njia za vumbi inadumu, sio kama Boxer mayai

Sema tu, stability ukiwa katika speed kubwa sana kama ina kuwa nyepesi mno ,hapo boxer ndio wapo vzuri.

Kama wataka kazi kazi, hata kubeba miizigo, mishkaki, sun lg, Hauje ndio best, shock up zake ngumu, inadumu, ina nguvu, sema muonekano ndio sio mtamu. Unaweza paki sehem watu wakajua wew ni boda boda, miluzi ikawa mingi.

Honda ipo kote ime balance.

Hizo zingine sijawah tumia
 
Back
Top Bottom