MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Chukua tvs ipo vizuri kuliko boxer hata ulaji wake wa mafuta ni mzuri lita kwa km 60 hadi 70 wakati boxer ni lita kwa km 30 hadi 40
Nimewahi kuendesha boxer Tanga - Dar kwa lita 5.5 - 6.
Ambapo ni sawa na 60km kwa kila lita 1
 
* Hivi plate namba A inamaanisha chombo ni cha kitambo xana na uwezo/ubora wake ni mdogo ukilinganisha na namba B, C, na D,?
Mfano nikinunua chombo (gari au pikipiki kwa mtu Je ishu ya kubadilisha umiliki inakuaje?
nakushauri usinunue pikipiki used mkuu utaumia, jichange tu utafute chombo mpya
 
Asante kwa ushauri..... Nataman kununua mpya lakin budget yake inanifanya nijikaze niongeze kdgo ninunue gar so naona wacha nigafute used yenye bajeti ngdogo
 
okay, basi utafute iliyotumika chini ya mwaka na haijafunguliwa engene. NB; uende na fundi unayemwamini akuhakikishie ubora wake
 
Asante.. 10000....vp kuhusu aina ya pkpk na mambo mengine kama nilivyoonesha hapo kwnye s post
 
Chukua tvs ipo vizuri kuliko boxer hata ulaji wake wa mafuta ni mzuri lita kwa km 60 hadi 70 wakati boxer ni lita kwa km 30 hadi 40
ee bwana tafadhali hizo data hata mimi zinanipeleka ninunue tvs, wasiwasi wangu pikipiki za timing chain na pushrods kama kuna tofauti kiutendaji na kula kwenye gereji
 
Fafanua kdgo boss....... Halafu tvs inatumia timing chain?
 
boxer inayo na inapendwa na bodaboda hizi fekon na snlg najua hazina tvs nieambiea inayo sina uhakika mimi nina fekon ila napenda tvs ulaji wa 70 km kwa lita ni matumuzi mazuri sana kama ni kweli

we fikiria unaenda dar mpaka ruvu kwa lita kama 2 au 3 ajabu sana
 
ee bwana tafadhali hizo data hata mimi zinanipeleka ninunue tvs, wasiwasi wangu pikipiki za timing chain na pushrods kama kuna tofauti kiutendaji na kula kwenye gereji
Samahani mkubwa naomba ka elimu kidogo kuhusu timing chain na aina ya pikipiki zinazo patikana Tanzania zenye timing chain na zisizo na timing chain
 
Kwa ulaji wa mafuta kwa kwel nimeridhika na hii data kwa upande wa tvs, lkn kwa huku nilipo (moshi) inasemekana spear za tvs ni adimu sanaa yan had Nairobi ndio uwekewe pia wazoefu wa tvs wanasema ukiweka vfaa vipya kwnye tvs hairejei hali yake ya upya badala yake inakuwa inaleta shida time to time.....ikilinganishwa na boxer (wengi ndio wanazo) ambayo hurudia upya wake....... Hili lkaaje!

Back
Top Bottom