low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,321
- 1,487
Ukizungumzia pikipiki ya biashara ni king lion ila pikipiki ya matembezi tvs
Tvs 125 ndo chombo ya uhakikaTvs inaka lita 1 km ngap wadau? Na pia kwa matumizi ipi nzuri kati ya Tvs 150. Na Tvs 125. Asante
Honda Ace
Hiki chombo kipindi niko chuo tulikua tunaunga watu mpaka wanne kuelekea lecture.
Hiki chombo kipindi niko chuo tulikua tunaunga watu mpaka wanne kuelekea lecture.
kwa upande wa baskeli nafananisha toyo sanlg na mountain bike then TVs boxer na road bike ama flat bar road bike where toyo is not as fast as boxer but INA handle rough road very good compared to boxer ambayo uko very fast but haitaki mazingira korofi so kila moja INA uzuri wake inategemea inatumikia wapiPikipiki, inategemea umeinunua kwa shughuli inayofavor mazingira gani? Kama wewe ni mtu wa shamba na kubeba mizigo, barabara zenye vigongo, urahisi katika bei ya vipuri. Kwa maoni yangu Sanlg, ni nzuri.
Habari za wakati huu wana JF, kama title inavyojieleza hapo juu;
A] Nataka kununua pikipiki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi na baadae kidogo kwa biashara. Hivyo naomba ushauri wa aina ya pikipiki itakayofaa kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo;
1)mwonekano mzuri (mvuto)
2) injini kubwa (uwezo wa kuhimili milima -speed)
3)upatikanaji wa spear zake na bei nafuu
4)ubanifu wa mafuta (economical fuel consumption)
5)bei yake nafuu sana
KATI YA PIKIPIKI HIZI ( BOXER 150, TVS, HAOJUE /HONDA ACE, HERO, TANHERO)
NITOE USHAMBA TAFADHALI KTK HAYA
*Pia kati ya Boxer old model na New model ipo bora, na kwann?
*Boxer BM 150 na 125 ipi nzur/kubwa (injini).
*Je kuna boxer yenye gia 5 na ipi?
* Hivi plate namba A inamaanisha chombo ni cha kitambo xana na uwezo/ubora wake ni mdogo ukilinganisha na namba B, C, na D,?
Mfano nikinunua chombo (gari au pikipiki kwa mtu Je ishu ya kubadilisha umiliki inakuaje?
#NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWAKO MWANA JF... %
poa poa mkuuMie naona Boxer BM150 ndo nzuri,sina jibu la moja kwa moja kwanini nasema ni bora kuliko TVS ila nimechukulia ile kuwa ndo zinazopendwa sana na watu wa biashara hiyo.
Ila pia bei zake zinatofautiana,boxer ipo juu kuliko tvs
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk