Naomba ushauri, nataka kununua pikipiki

Jay10

Jay10

JF-Expert Member
400
250
Naomba kufaham kuhusu maintenance ya pikipik kwa ujumla, hususan boxer au tvsn mfano services inakuaje? Masuala ya kubadilisha oil, Ujazaji wa oil, usafishwaji wa injin au chombo chenyewe n. K....pia itakuwa vyema kueleza tatzo kubwa kwa aina flan ya pikpk....

Wazoefu na wajuvi wa hiv vyombo (pkpk) bb nawakaribisha kwa elimu... Karbun.....
 
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
2,504
2,000
Boxer inatumia kilometers 45 kwa lita
labda hizi ndogo cc 100/125 lakini 150 mkuu haiko zaidi ya 40 na hapo rpm usiwe unaisogelea kati. yaani kph iwe <70. angalau masafa marefu na speed ya 110 (dashboard ni 10 lakini ile ya kinglion 180 unampita kama amesimama) itakufikisha 35-38 bila mzigo.
 
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
2,504
2,000
Nilitaman mvuto pia ili kulinda status yng
UIMARA/HADHI/BANA MATUMIZI
kwa hadhi mkuu chukua Honda. zipo ndogo za cc 100, 125, 150 models mpya zilizoundiwa body kama pikipiki nyingi za mchina/india.

pia ni economical kwa mafuta kufikia 60-70 km/lt japo bei yake kiasi imechangamka. bei za kati ni 3-5m.

raha ya honda ni mkataba: hakuna uharibifu wa reja reja. unabaki na jukumu la oil exchange, filters, kusafisha air cleaner, chain adjustmen na petrol. sio rahisi kukutana na kukata shock up, cable, kuunguza clutch, kumaliza brake shoe, sprokets ndani ya mwaka.

wale yange yange pia sio wasumbufu upande wa hizi.

PUNDA/ROHO YA PAKA/RAFIKI WA OFF ROAD/MAFUNDI WENGI, VIPURI CHEE/HAPO KAZI TU
sanlg, sunlg, houjue(sina hakika speling), tan hero, kinglion, fekon

bei nafuu dukani kulinganisha na aina nyingine.

zina mtetemo (nyingi zina mfumo wa pushrods) hazifai kwa masafa, utachoka sana kiuno, mgongo, mikono hasa kwa wasio na uzoefu wa masafa.

kelele kubwa ya injini tofauti na tvs, boxer, honda

hizi kubebeshwa hadi kg 300 (kutegemeana na ujuzi/uzoefu wa dereva)

vipuri vipo kila kona na mafundi wengi wanazijulia. hata bila sevisi ya maana dude linatembea tu. wapo wanafunga hata kwa kamba likikata baadhi ya spea linakata milima tu.

haidumu muda mrefu sababu ya suluba zinazokutana nazo.

MASAFA/LIGI/CHOTARA
boxer (cc100, 125, 150 old na new)

*sina uhakika kama zipo za pushrods.

zinafaa sana kutembelea tu au kubeba mizigo isiyozidi 70kg (uzito wa abiria mmoja)

ni nyepesi sana, hazishiki barabara, ni rahisi kuhamishwa barabara maeneo yenye upepo. ##ilinitokea biharamulo 2016)

very and dangerous in terms of speed.
(ina mwendokasi usio wa kawaida japo dashboard ni kama inadanganya. inasoma 110 tu lkn wa magari mnatoana jasho)

inapenda kujaliwa sana (chotara) haitaki ubahiri kwenye spea na sio kila fundi anatengeneza kwa ubora. vipuri vyake ni aghali.

narudia tena; haipendi mizigo maana inapoteza spidi na huchakaa mapema

TVS hizi za kisasa sijawahi kutumia, sina uzoefu. waje wenyeji wake. ila nilimiliki na kutumia old model cc 100 na 110. sifa kama boxer. tofauti yake ni matumizi kidogo ya mafuta, starehe barabarani kwa shock ups zinazonesa kwa maringo lkn spea mmmh waweza kukimbia.

MWISHO.
uhai wa chombo huongezeka kulingana na matunzo na kujali kwa mtumiaji.
 
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
2,504
2,000
Mm
nmeshangaa hizo data sijui amezitoa wapi. Boxer inatembea mpaka 60km/lt. Ni Kati ya pkpk zenye cc150 na zinakula mafuta kidogo sn
mkuu hatukukatalii lkn boxer zipo na varieties. ukitaja boxer akili ya wengi inasoma cc150. hii ni km 40 kwenda chini.

hiyo unayosema wewe ni boxer cc 100 inaweza kufikia hadi 70km/lt kwa mwendo wa kutomaliza accelerator nzima. lkn kumbuka mtoa mada kasema analinda HADHI/STATUS/PROSPERITY yake. huwezi kumpandisha cc 100 yenye mwonekano km honda 110. kwanza kiko chini na siti iko flat kuanzia mkiani hadi kwenye tenki. unaweza kubeba watu hadi 5 body inaruhusu. (refer avatar ya watu 8), taa ipo kama kibatari na dash board sio classic km cc 150 old. japo cc 150 new model imeboreshwa zaidi kimwonekano. iko juu. kwa wale wa watefu inapendeza sana. pia kupita rough roads/off roads inaacha vumbi tu km ikipata mtekenyaji mzuri.
 
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
2,504
2,000
SUNLG 150 hutojuta. Moo wake tu ni burudani tosha.
bilashaka wewe ni kijana. ukitaka kubadili mlio nunua mufflers zenye midomo mipana, inakupa mbomoko 'ebyahatari'
 
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
2,504
2,000
Naomba kufaham kuhusu maintenance ya pikipik kwa ujumla, hususan boxer au tvsn mfano services inakuaje? Masuala ya kubadilisha oil, Ujazaji wa oil, usafishwaji wa injin au chombo chenyewe n. K....pia itakuwa vyema kueleza tatzo kubwa kwa aina flan ya pikpk....

Wazoefu na wajuvi wa hiv vyombo (pkpk) bb nawakaribisha kwa elimu... Karbun.....
mengi tumeshakutajia mkuu. humu unganisha fikra ufanye maamuzi yako. ukiendekeza kila kitu uambiwe mwishowe utakosa la kufanya.

mimi nimekupa yangu kama mzoefu kimatumizi toka 2003 hadi sasa natumia pikipiki, sina gari, mara chache naendesha ya wadau lkn naukubali utamu wa pikipiki kuliko gari tofauti na kero za mvua.

pia mafundi na wauzaji wameshabwaga yao.

ukichambua kwa umakini utagundua washauri wengi wanapendekeza umiliki aina walizo nazo bila kuzingatia vigezo vyako ulivyoainisha ktk main post. hivyo kazi ni kwako.

NYONGEZA:
service ya maana ni ku-fix lolote kabla hakijaleta madhara, ukisubiri sana ukaendeleza kutembelea tatizo huzaa mengine.
mf. upepo mdogo hichana tairi na kuvinba/kutunishwa nyaya au kupasuka au kukata nali.

oil rojorojo (zaidi ya km 1000) huchakaza/ziba filters na kuzalisha moshi au kuunguza piston rings, plugs kuungua na kukosa nguvu.

jenga mazoea ya kuhudumiwa na fundi mmoja kwa service ya uhakika labda ukiwa mbali naye kwa dharula.

jenga hulka ya kutomwamini fundi. asikununulie spea nunua mwenyewe yeye awe mfungaji. aghalabu wanakula na wenye maduka. unatozwa bei ya spea halisi anakufungia bomu ya bei chee anajilia chenji na huku unamlipa kabhour charges, ukitembea km chache unarudi kwake.

jenga tabia ya kujifunza kutambua hitilafu kabla ya kupeleka kwa fundi. wapo wanaobadili spea. mf unaenda kubadili rings za piston unamuachia chombo, anafungua plates au plugs zako org. anamufungia mteja mwingine. hii ni tabia ya mafundi wengi hasa watz ndio waizi waizi toka tumeacha kunyonya.

usimpe ovyo mtu baki usafiri wako. wewe ndiye unayejua thamani na umuhimu wa hicho chombo. wapiga norinda kwenye lami, wacheuaji na upanguaji wa fujo mara nyingi. vyombo si vyao-wamekodi. fikiria kwanini iwe ngumu kumkabidhi mtu hata memsahibhu pochi yenye 1,500,000 akushikie ukienda msalani lkn iwe nyepesi kumpa ignition key mtu. aburuze boxer yako uliyotolea 2.3m eti aisikilize!!

thamini vyako hata kama utasemwa au wakiona ni cha bei chini. wangapi hawana? A MAN BRAGS HIS PENIS HOWEVER TINY (usitafsiri kwa kiswahili hii sio mada ya Piston)
 
JAKUGOTE

JAKUGOTE

JF-Expert Member
338
250
mkuu hatukukatalii lkn boxer zipo na varieties. ukitaja boxer akili ya wengi inasoma cc150. hii ni km 40 kwenda chini.

hiyo unayosema wewe ni boxer cc 100 inaweza kufikia hadi 70km/lt kwa mwendo wa kutomaliza accelerator nzima. lkn kumbuka mtoa mada kasema analinda HADHI/STATUS/PROSPERITY yake. huwezi kumpandisha cc 100 yenye mwonekano km honda 110. kwanza kiko chini na siti iko flat kuanzia mkiani hadi kwenye tenki. unaweza kubeba watu hadi 5 body inaruhusu. (refer avatar ya watu 8), taa ipo kama kibatari na dash board sio classic km cc 150 old. japo cc 150 new model imeboreshwa zaidi kimwonekano. iko juu. kwa wale wa watefu inapendeza sana. pia kupita rough roads/off roads inaacha vumbi tu km ikipata mtekenyaji mzuri.
 
JAKUGOTE

JAKUGOTE

JF-Expert Member
338
250
mkuu hatukukatalii lkn boxer zipo na varieties. ukitaja boxer akili ya wengi inasoma cc150. hii ni km 40 kwenda chini.

hiyo unayosema wewe ni boxer cc 100 inaweza kufikia hadi 70km/lt kwa mwendo wa kutomaliza accelerator nzima. lkn kumbuka mtoa mada kasema analinda HADHI/STATUS/PROSPERITY yake. huwezi kumpandisha cc 100 yenye mwonekano km honda 110. kwanza kiko chini na siti iko flat kuanzia mkiani hadi kwenye tenki. unaweza kubeba watu hadi 5 body inaruhusu. (refer avatar ya watu 8), taa ipo kama kibatari na dash board sio classic km cc 150 old. japo cc 150 new model imeboreshwa zaidi kimwonekano. iko juu. kwa wale wa watefu inapendeza sana. pia kupita rough roads/off roads inaacha vumbi tu km ikipata mtekenyaji mzuri.
Mkuu namaanisha boxer bm 150 na nna uhakika nayo kwasababu ndio nayotumia kwa miaka minne sasa, hiyo ya cc100 hata siijui kabisa hata mwonekano wake
 
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
6,286
2,000
Haojue is the option kama unataka na baadae ufanyie biashara, ila kwa boxer kama unataka kutumia mwenyewe na uje kufanyia biashara sikushauri kwani zinawahi kuchoka na spare zake ni ghali
Je Haojue kwa binafsi tu na baadae ibaki kuwa binafsi tu no biashara..haitafaa maan naona wanasema ni ngumu inafaa kwa binafsi na baishara...kwa kuitumia tu mishe zako kazini misele vipi.
 
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
6,286
2,000
Mkuu kama matuzimi binafsi nakushauri boxer ila Kama ni kwa biashara chukua haojue, sanlg na michina mengine.

Kwann?
Boxer imeundwa kwa starehe na sio shuruba. Inatumia boxer engine(jina la engine na sio pkpk) engine ambazo zimeundwa kwa technolojia ya kupunguza vibration na sauti ndogo ya pkpk kiasi kwamba hata kwa safari ndefu hauchoki tofauti na pkpk za mchina. Unaweza ukagoogle neno boxer engine, zinatumika hata kwenye magari aina ya Subaru

Japo spare zake ni Bei juu lakini zinadumu Sana. Kwahyo Kama una matumizi binafsi utaweza kudumu nayo

Kama kwaajili ya biashara
Chukua mchina nilizotaja hapo juu kwasababu ni cheap kumiliki na ndio mana watu wengi wanapenda kuzitumia. Spare zinakongoroka Kila wakati lakini Bei yake ni nafuu......
But cheap is expensive
kwa nini Haojue ni nzuri kwa biashara maana ninawaza niichukue kwa matumizi binafsi
 
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
6,286
2,000
Mkuu umejibu na kuelezea vizuri sana> ya kwanza hiyo niliipenda sana ila gharama sasa, pia hadhi sawa ila siwezi lazimisha kuonekana niko kwenye chombo cha hadhi af maisja yangu ya ovyo ovyo...bora nimaintain quality life kuliko show ya hadhi...jili moja

na hizi paka roho hizi sasa Hazidumu muda mrefu sababu ya shoruba au shuguli...sasa je nikiitumia hi kwa matumizi binafsi..hasa ukizingatia suala la hadhio mi lipo kwenye kuongea statuz ya kazi na ofisi niliyopo ila kwa chombo navunga i dnt care..sawa sawa na nina IST au startlet tu ofisini sawa haina hadhi ila mimi nin hadhi kwa inputs na position.

za mwisho chotara hizi nakausha kwanza

Anyway tukiondoa suala la hadhi je fekon au Haoujue ni imara kuwa nayo na spare zake zipo etc. kwa matumizi binafsi lakini

Honda spare zikoje///maana naipenda ila bei zake ndio nakausha tu...pia naona zimekuwa adimu madukani
 
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
6,286
2,000
mengi tumeshakutajia mkuu. humu unganisha fikra ufanye maamuzi yako. ukiendekeza kila kitu uambiwe mwishowe utakosa la kufanya.

mimi nimekupa yangu kama mzoefu kimatumizi toka 2003 hadi sasa natumia pikipiki, sina gari, mara chache naendesha ya wadau lkn naukubali utamu wa pikipiki kuliko gari tofauti na kero za mvua.

pia mafundi na wauzaji wameshabwaga yao.

ukichambua kwa umakini utagundua washauri wengi wanapendekeza umiliki aina walizo nazo bila kuzingatia vigezo vyako ulivyoainisha ktk main post. hivyo kazi ni kwako.

NYONGEZA:
service ya maana ni ku-fix lolote kabla hakijaleta madhara, ukisubiri sana ukaendeleza kutembelea tatizo huzaa mengine.
mf. upepo mdogo hichana tairi na kuvinba/kutunishwa nyaya au kupasuka au kukata nali.

oil rojorojo (zaidi ya km 1000) huchakaza/ziba filters na kuzalisha moshi au kuunguza piston rings, plugs kuungua na kukosa nguvu.

jenga mazoea ya kuhudumiwa na fundi mmoja kwa service ya uhakika labda ukiwa mbali naye kwa dharula.

jenga hulka ya kutomwamini fundi. asikununulie spea nunua mwenyewe yeye awe mfungaji. aghalabu wanakula na wenye maduka. unatozwa bei ya spea halisi anakufungia bomu ya bei chee anajilia chenji na huku unamlipa kabhour charges, ukitembea km chache unarudi kwake.

jenga tabia ya kujifunza kutambua hitilafu kabla ya kupeleka kwa fundi. wapo wanaobadili spea. mf unaenda kubadili rings za piston unamuachia chombo, anafungua plates au plugs zako org. anamufungia mteja mwingine. hii ni tabia ya mafundi wengi hasa watz ndio waizi waizi toka tumeacha kunyonya.

usimpe ovyo mtu baki usafiri wako. wewe ndiye unayejua thamani na umuhimu wa hicho chombo. wapiga norinda kwenye lami, wacheuaji na upanguaji wa fujo mara nyingi. vyombo si vyao-wamekodi. fikiria kwanini iwe ngumu kumkabidhi mtu hata memsahibhu pochi yenye 1,500,000 akushikie ukienda msalani lkn iwe nyepesi kumpa ignition key mtu. aburuze boxer yako uliyotolea 2.3m eti aisikilize!!

thamini vyako hata kama utasemwa au wakiona ni cha bei chini. wangapi hawana? A MAN BRAGS HIS PENIS HOWEVER TINY (usitafsiri kwa kiswahili hii sio mada ya Piston)
WEKK SAID BRO, na mimi humu kwa kweli nakusanya maoni ya watu wanaotoa ili nifanya maamuzi yangu..maana kila mtu anasema kwa experience yake but utaona tu zilizotajwa tu zote zinafaa.....
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
98,358
2,000
Umechoka na maisha? 😳

Habari za wakati huu wana JF, kama title inavyojieleza hapo juu;

A]
Nataka kununua pikipiki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi na baadae kidogo kwa biashara. Hivyo naomba ushauri wa aina ya pikipiki itakayofaa kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo;
1)mwonekano mzuri (mvuto)
2) injini kubwa (uwezo wa kuhimili milima -speed)
3)upatikanaji wa spear zake na bei nafuu
4)ubanifu wa mafuta (economical fuel consumption)
5)bei yake nafuu sana

KATI YA PIKIPIKI HIZI ( BOXER 150, TVS, HAOJUE /HONDA ACE, HERO, TANHERO)

NITOE USHAMBA TAFADHALI KTK HAYA
*Pia kati ya Boxer old model na New model ipo bora, na kwann?
*Boxer BM 150 na 125 ipi nzur/kubwa (injini)
*Je kuna boxer yenye gia 5 na ipi.?
* Hivi plate namba A inamaanisha chombo ni cha kitambo xana na uwezo/ubora wake ni mdogo ukilinganisha na namba B, C, na D,?
Mfano nikinunua chombo (gari au pikipiki kwa mtu Je ishu ya kubadilisha umiliki inakuaje?

#NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWAKO MWANA JF... %
 
Mtali

Mtali

JF-Expert Member
2,781
2,000
Sasa hivi zipo za kutosha
Duuh kama ni hvyo kwel bas inaweza kuwa best kwenye mafuta...... Lakin napata wakati mgum napowaza Upatikanaji wa Spear parts zake mana inasemekana kutoka kwa watumiaji kuwa ni adim sana had Nairobi mana nipo Moshi... Wenye tvs kwa observation yang naona ni wachache kuliko wenye boxer na nyinginezo
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom