Naomba ushauri, nataka kununua pikipiki

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
404
Points
500

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
404 500
ee bwana tafadhali hizo data hata mimi zinanipeleka ninunue tvs, wasiwasi wangu pikipiki za timing chain na pushrods kama kuna tofauti kiutendaji na kula kwenye gereji
Samahani mkubwa naomba ka elimu kidogo kuhusu timing chain na aina ya pikipiki zinazo patikana Tanzania zenye timing chain na zisizo na timing chain
 
Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Messages
380
Points
250

Jay10

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2018
380 250
Kwa ulaji wa mafuta kwa kwel nimeridhika na hii data kwa upande wa tvs, lkn kwa huku nilipo (moshi) inasemekana spear za tvs ni adimu sanaa yan had Nairobi ndio uwekewe pia wazoefu wa tvs wanasema ukiweka vfaa vipya kwnye tvs hairejei hali yake ya upya badala yake inakuwa inaleta shida time to time.....ikilinganishwa na boxer (wengi ndio wanazo) ambayo hurudia upya wake....... Hili lkaaje!
boxer inayo na inapendwa na bodaboda hizi fekon na snlg najua hazina tvs nieambiea inayo sina uhakika mimi nina fekon ila napenda tvs ulaji wa 70 km kwa lita ni matumuzi mazuri sana kama ni kweli

we fikiria unaenda dar mpaka ruvu kwa lita kama 2 au 3 ajabu sana
 
Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Messages
380
Points
250

Jay10

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2018
380 250
Haujue (mayai/Honda ace model) inasemekana kuwa c ngum hili linanipa waswas mana mi ctaki zile za kawaida..
Haojue is the option kama unataka na baadae ufanyie biashara, ila kwa boxer kama unataka kutumia mwenyewe na uje kufanyia biashara sikushauri kwani zinawahi kuchoka na spare zake ni ghali
 
JAKUGOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
244
Points
250

JAKUGOTE

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
244 250
boxer inayo na inapendwa na bodaboda hizi fekon na snlg najua hazina tvs nieambiea inayo sina uhakika mimi nina fekon ila napenda tvs ulaji wa 70 km kwa lita ni matumuzi mazuri sana kama ni kweli

we fikiria unaenda dar mpaka ruvu kwa lita kama 2 au 3 ajabu sana
Boxer ni cc ngap na TVS ni cc ngap? Tuanzie hapo kwanza.
 
JAKUGOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
244
Points
250

JAKUGOTE

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
244 250
hatahivyo mchina ashaingiza sokoni spea bei chee. mfano clutch plates org. ilikuwa 20,000 saivi zipo za 8,000-10,000 (bei huku nilipo), accelerator cables 12,000 saivi 4,000-5000
Kama ni body parts hakuna shida ila usije ukachanganya spare za mchina kwenye engine ya boxer. Boxer inataka spare original tu na sio vinginevyo
 
Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Messages
380
Points
250

Jay10

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2018
380 250
Swa
Swali langu Lina maana nzuri tu labda Kama hukutaka kulitafakari, Nina miaka nane naendesha pikipiki na hizo boxer na TVS Nina experience nazo kwa miaka minne Sasa.
Naomba unigawie experience mkuu.... Kwa kuzingatia vigezo nilivyobainisha kwny post hii pia, kulingana na maoni ya wadau wengine
 
JAKUGOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
244
Points
250

JAKUGOTE

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
244 250
Naomba unigawie experience mkuu.... Kwa kuzingatia vigezo nilivyobainisha kwny post hii pia, kulingana na maoni ya wadau wengine
Mkuu kama matuzimi binafsi nakushauri boxer ila Kama ni kwa biashara chukua haojue, sanlg na michina mengine.

Kwann?
Boxer imeundwa kwa starehe na sio shuruba. Inatumia boxer engine(jina la engine na sio pkpk) engine ambazo zimeundwa kwa technolojia ya kupunguza vibration na sauti ndogo ya pkpk kiasi kwamba hata kwa safari ndefu hauchoki tofauti na pkpk za mchina. Unaweza ukagoogle neno boxer engine, zinatumika hata kwenye magari aina ya Subaru

Japo spare zake ni Bei juu lakini zinadumu Sana. Kwahyo Kama una matumizi binafsi utaweza kudumu nayo

Kama kwaajili ya biashara
Chukua mchina nilizotaja hapo juu kwasababu ni cheap kumiliki na ndio mana watu wengi wanapenda kuzitumia. Spare zinakongoroka Kila wakati lakini Bei yake ni nafuu......
But cheap is expensive
 
Asantee boss kwa elimu.... Nvs hyo km60 kwa lita ni kwel!??. Kwann hunishauri tvs, haojue new model, Honda ace!??
 
JAKUGOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Messages
244
Points
250

JAKUGOTE

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2013
244 250
Asantee boss kwa elimu.... Nvs hyo km60 kwa lita ni kwel!??. Kwann hunishauri tvs, haojue new model, Honda ace!??
1. Tvs kwenda km 60 kwa lita ni sahihi kabisa na inaweza fika 70km, it's 125 cc compared to boxer hizi za siku hizi.
2. Tvs haina tofauti sana na boxer kwa sifa ambazo nilizitaja huko juu kuanzia starehe, kutokuwa na vibration, uimara wa spare nk (zote mtengenezaji ni mhindi). Tofauti iliyopo kati ya pkpk hizi ni muonekano na speed. Boxer inachanganya kwa haraka sana na speed ya kutosha nafikiri unajua kuwa ndio mana zilikuwa zinatumika sana na wahalifu....nafikiri mpaka sasa hata vijana wanaopora mabegi na simu za watu huwa wanatumia boxer mara nyingi:D
3. Haojue is good ila kama ni kwa biashara, lkn kama ni matumizi binafsi sikushauri sana(hapa ni kwa ajili ya status)
4. Honda ace: huu ni mziki mwingine kabisa, sina uzoefu kwa matoleo yaliyopita lakin mimi natumia honda ace125 toleo la 2017 ya kazini, ni tamu sana kuanzia ustarehe, uimara, mafuta kiduchu nk. Hizi zinatengenezwa na mjapani lakini mchina pia naye amegonga copy zake ambazo huwezi tofautisha na ya mjapan, zipo kwa kiwango kilekile kinachofanana na za japani, nasema hivyo kwasababu nnayotumia ni ya mchina na nmetumia mwaka mmoja bila kugundua kama ni ya mchina mpaka baada ya kupitia manual yake vizuri lakin still iko vizuri haijawahi kubadilishwa spare ya aina yoyote ile zaidi ya kumwaga oil tu
 
Sendoro Mbazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Messages
1,063
Points
1,250

Sendoro Mbazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2013
1,063 1,250
Habari za wakati huu wana JF, kama title inavyojieleza hapo juu;

A]
Nataka kununua pikipiki kwa ajili ya matumizi yangu binafsi na baadae kidogo kwa biashara. Hivyo naomba ushauri wa aina ya pikipiki itakayofaa kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo;
1)mwonekano mzuri (mvuto)
2) injini kubwa (uwezo wa kuhimili milima -speed)
3)upatikanaji wa spear zake na bei nafuu
4)ubanifu wa mafuta (economical fuel consumption)
5)bei yake nafuu sana

KATI YA PIKIPIKI HIZI ( BOXER 150, TVS, HAOJUE /HONDA ACE, HERO, TANHERO)

NITOE USHAMBA TAFADHALI KTK HAYA
*Pia kati ya Boxer old model na New model ipo bora, na kwann?
*Boxer BM 150 na 125 ipi nzur/kubwa (injini)
*Je kuna boxer yenye gia 5 na ipi.?
* Hivi plate namba A inamaanisha chombo ni cha kitambo xana na uwezo/ubora wake ni mdogo ukilinganisha na namba B, C, na D,?
Mfano nikinunua chombo (gari au pikipiki kwa mtu Je ishu ya kubadilisha umiliki inakuaje?

#NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWAKO MWANA JF... %
Tvs apache
 
Sendoro Mbazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Messages
1,063
Points
1,250

Sendoro Mbazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2013
1,063 1,250
Duuh kama ni hvyo kwel bas inaweza kuwa best kwenye mafuta...... Lakin napata wakati mgum napowaza Upatikanaji wa Spear parts zake mana inasemekana kutoka kwa watumiaji kuwa ni adim sana had Nairobi mana nipo Moshi... Wenye tvs kwa observation yang naona ni wachache kuliko wenye boxer na nyinginezo
Tvs zipo kote
 
Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Messages
380
Points
250

Jay10

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2018
380 250
1. Tvs kwenda km 60 kwa lita ni sahihi kabisa na inaweza fika 70km, it's 125 cc compared to boxer hizi za siku hizi.
2. Tvs haina tofauti sana na boxer kwa sifa ambazo nilizitaja huko juu kuanzia starehe, kutokuwa na vibration, uimara wa spare nk (zote mtengenezaji ni mhindi). Tofauti iliyopo kati ya pkpk hizi ni muonekano na speed. Boxer inachanganya kwa haraka sana na speed ya kutosha nafikiri unajua kuwa ndio mana zilikuwa zinatumika sana na wahalifu....nafikiri mpaka sasa hata vijana wanaopora mabegi na simu za watu huwa wanatumia boxer mara nyingi:D
3. Haojue is good ila kama ni kwa biashara, lkn kama ni matumizi binafsi sikushauri sana(hapa ni kwa ajili ya status)
4. Honda ace: huu ni mziki mwingine kabisa, sina uzoefu kwa matoleo yaliyopita lakin mimi natumia honda ace125 toleo la 2017 ya kazini, ni tamu sana kuanzia ustarehe, uimara, mafuta kiduchu nk. Hizi zinatengenezwa na mjapani lakini mchina pia naye amegonga copy zake ambazo huwezi tofautisha na ya mjapan, zipo kwa kiwango kilekile kinachofanana na za japani, nasema hivyo kwasababu nnayotumia ni ya mchina na nmetumia mwaka mmoja bila kugundua kama ni ya mchina mpaka baada ya kupitia manual yake vizuri lakin still iko vizuri haijawahi kubadilishwa spare ya aina yoyote ile zaidi ya kumwaga oil tu
Asante kaka kwa elimu...... Hyo km 6 nilikuwa namaanisha kwa boxer
 
Forum statistics

Threads 1,356,877
Members 518,959
Posts 33,140,096
Top