Naomba ushauri, nataka kununua pikipiki

kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
713
Points
1,000
kajamaa kadogo

kajamaa kadogo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2018
713 1,000
Kazichukue kwa ulyemwazmisha...... Namaanisha, elimu gan ulikuwa wazungumzia?
Amna brother mimi ushauri wangu huo una uwaza wewe maana siamini kama ujiamini

Enough
 
samtot

samtot

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
249
Points
250
samtot

samtot

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
249 250
Chukua tvs ipo vizuri kuliko boxer hata ulaji wake wa mafuta ni mzuri lita kwa km 60 hadi 70 wakati boxer ni lita kwa km 30 hadi 40
Nimewahi kuendesha boxer Tanga - Dar kwa lita 5.5 - 6.
Ambapo ni sawa na 60km kwa kila lita 1
 
samtot

samtot

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
249
Points
250
samtot

samtot

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
249 250
Kuna watu wanasema zinawah kuchoka na hazbeb mzgo mizto miztoo ukilinganisha na nyingine...
Ni matumizi ya mtu na utunzaji ndiyo vinaichosha pikipiki.
Mizigo mizito pia inachangia
 
runtown

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
606
Points
500
runtown

runtown

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
606 500
Pikipiki ni toyo au king lion sema hizi zipo sana kaskazin
 
10000

10000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Messages
757
Points
500
10000

10000

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2013
757 500
* Hivi plate namba A inamaanisha chombo ni cha kitambo xana na uwezo/ubora wake ni mdogo ukilinganisha na namba B, C, na D,?
Mfano nikinunua chombo (gari au pikipiki kwa mtu Je ishu ya kubadilisha umiliki inakuaje?
nakushauri usinunue pikipiki used mkuu utaumia, jichange tu utafute chombo mpya
 
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Messages
360
Points
250
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2018
360 250
nakushauri usinunue pikipiki used mkuu utaumia, jichange tu utafute chombo mpya
Asante kwa ushauri..... Nataman kununua mpya lakin budget yake inanifanya nijikaze niongeze kdgo ninunue gar so naona wacha nigafute used yenye bajeti ngdogo
 
10000

10000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Messages
757
Points
500
10000

10000

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2013
757 500
Asante kwa ushauri..... Nataman kununua mpya lakin budget yake inanifanya nijikaze niongeze kdgo ninunue gar so naona wacha nigafute used yenye bajeti ngdogo
okay, basi utafute iliyotumika chini ya mwaka na haijafunguliwa engene. NB; uende na fundi unayemwamini akuhakikishie ubora wake
 
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Messages
360
Points
250
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2018
360 250
okay, basi utafute iliyotumika chini ya mwaka na haijafunguliwa engene. NB; uende na fundi unayemwamini akuhakikishie ubora wake
Asante.. 10000....vp kuhusu aina ya pkpk na mambo mengine kama nilivyoonesha hapo kwnye s post
 
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
951
Points
1,000
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
951 1,000
Chukua tvs ipo vizuri kuliko boxer hata ulaji wake wa mafuta ni mzuri lita kwa km 60 hadi 70 wakati boxer ni lita kwa km 30 hadi 40
ee bwana tafadhali hizo data hata mimi zinanipeleka ninunue tvs, wasiwasi wangu pikipiki za timing chain na pushrods kama kuna tofauti kiutendaji na kula kwenye gereji
 
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Messages
360
Points
250
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2018
360 250
ee bwana tafadhali hizo data hata mimi zinanipeleka ninunue tvs, wasiwasi wangu pikipiki za timing chain na pushrods kama kuna tofauti kiutendaji na kula kwenye gereji
Fafanua kdgo boss....... Halafu tvs inatumia timing chain?
 
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
951
Points
1,000
W

wakurochi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
951 1,000
Fafanua kdgo boss....... Halafu tvs inatumia timing chain?
boxer inayo na inapendwa na bodaboda hizi fekon na snlg najua hazina tvs nieambiea inayo sina uhakika mimi nina fekon ila napenda tvs ulaji wa 70 km kwa lita ni matumuzi mazuri sana kama ni kweli

we fikiria unaenda dar mpaka ruvu kwa lita kama 2 au 3 ajabu sana
 
da irritant boy

da irritant boy

Senior Member
Joined
Oct 17, 2013
Messages
139
Points
195
da irritant boy

da irritant boy

Senior Member
Joined Oct 17, 2013
139 195
Haojue is the option kama unataka na baadae ufanyie biashara, ila kwa boxer kama unataka kutumia mwenyewe na uje kufanyia biashara sikushauri kwani zinawahi kuchoka na spare zake ni ghali
 
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Messages
1,907
Points
2,000
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2015
1,907 2,000
Kuna spea zinatofautia kwa asilimia hamsini na hizi zingne
hatahivyo mchina ashaingiza sokoni spea bei chee. mfano clutch plates org. ilikuwa 20,000 saivi zipo za 8,000-10,000 (bei huku nilipo), accelerator cables 12,000 saivi 4,000-5000
 

Forum statistics

Threads 1,313,690
Members 504,615
Posts 31,802,733
Top