Naomba ushauri nataka kununua brevis 250i au mark x 250G

mambomoto

JF-Expert Member
May 10, 2011
326
195
Wadau naombeni ushauri nataka kununua Brevis 250i au Mark x 250G. Naomba kujua kwa wenye uzoefu ni ipi bora kwa matumizi ya kawaida na siku moja moja safari za mapumziko mkoani.
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
19,915
2,000
Kwanza kabisa haiitwi 250i, inaitwa Toyota Brevis ai250, inunue upate gari yenye speed ya ndege, nguvu na stability kama ya train, na comfort kama ya sea boat, ila jiandae kuwa mgeni wa mara kwa mara wa Oilcom.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom