Asante sana. Najaribu hii biashara kwakweli. Nitafanya kama mdau alivyoshauri nisiingie mazima. Naweza ingiza hata 20m tuMkuu mimi Niko kwenye hiyo field naweza kukushauri.
Kwa capital hiyo Naona its possible na ukapata faida sana.
Biashara ya vifaa Vya umeme inakua nzuri sana Kama una mtaji wa kutosha Hasa Kwa mtu ambae uko nje ya Kariakoo, Naona kabisa unaenda kumake profit nzuri Kwa sababu una connection na wadau wa umeme.
Ukiwa na mtaji unakua na mzigo wa kutosha na unanunua bei ya jumla zaidi na unaweza kuvutia wateja Kwa kupunguza bei zaidi ya wengine.
Kama ikikupendeza pia changanya na vitu Vya bomba, Liwe duka la umeme na bomba. Kuna hela sana humo.
Otherwise all the best champ
Asante sana. Bahati nzuri machimbo ya Narung'ombe na Gerezani mengi nayafahamu. Ikifika muda nitakutafutapia ukihitaji machimbo ya jumla kariakoo naweza kukusaidia
Asante kwa angalizo hilo. Network ya watu wanaweza fika zaidi ya 50 but mie nimechukulia watu 20 tu siwezi kosa. Hawa ni mafundi umeme ambao wanafanya wiring maeneo mbalimbali.Mtaji huo unatosha sana.. kikubwa punguza expectations, hao watu unaoita una connection nao watakuja kukushangaza.
Ndio. Na yupo vizuri sana. Kwanza ana elimu ya usimamizi wa biashara. Na nimewahi kufanya nae biashara moja ikalipa vizuri sema tuliifunga baada ya hamahama nyingi. But ilifungwa with profitUna MTU/watu wa kuisimamia hiyo biashara
Tatizo sio kuwa na hiyo network ila umejiandaa vp kuishi na hiyo network? hao mafundi kama hautaishi nao vzr wanaweza kukukimbia wote aisee,mie ni fundi ukitaka abcd za kuishi na mafundi njoo pmAsante kwa angalizo hilo. Network ya watu wanaweza fika zaidi ya 50 but mie nimechukulia watu 20 tu siwezi kosa. Hawa ni mafundi umeme ambao wanafanya wiring maeneo mbalimbali.
Tatizo sio kuwa na hiyo network ila umejiandaa vp kuishi na hiyo network? hao mafundi kama hautaishi nao vzr wanaweza kukukimbia wote aisee,mie ni fundi ukitaka abcd za kuishi na mafundi njoo pm
Hizi ni siri za kambi babuUmgependeza utupe abc za hao mafundi hapa hapa
hizi ni siri za kambi babu
Fact..Mtaji huo unatosha sana.. kikubwa punguza expectations, hao watu unaoita una connection nao watakuja kukushangaza.
Bro mbona umepanic hivyo? Unataka kujua zimenifikisha wapi ili iweje?Acha iswahili wewe, tupo karne ya 21 hii. Eti siri za kambi...
Wewe zimekufikisha wapi hizo siri?
Nimefanya uchunguzi wa kutosha hizi siku 3 na kubaini kuwa naweza kuanza hata na Tsh 10m tu. Soon naanza busness na si rudi nyuma naomba Mungu anibariki.Amna fursa inayolipa kama hiyo kwa sasa hivi.
Nami pia ni fundi ndugu yangu. Nina uzoefu wa ufundi since 2005. Yaani nipo kwenye sekta kwa miaka 16 sasa.Tatizo sio kuwa na hiyo network ila umejiandaa vp kuishi na hiyo network? hao mafundi kama hautaishi nao vzr wanaweza kukukimbia wote aisee,mie ni fundi ukitaka abcd za kuishi na mafundi njoo pm
Mkuu anza na 20m ,utanue wigoNimefanya uchunguzi wa kutosha hizi siku 3 na kubaini kuwa naweza kuanza hata na Tsh 10m tu. Soon naanza busness na si rudi nyuma naomba Mungu anibariki.
Uko sawa kabisa mkuu haswaa kwny huo mstari wa mwisho.Mtaji huo unatosha sana... kikubwa punguza expectations, hao watu unaoita una connection nao watakuja kukushangaza.
Sasa si uende kwny kilinge cha uchawi huko.Hizi ni siri za kambi babu
Ungemwaga hapa tufaidi wotemie ni fundi ukitaka abcd za kuishi na mafundi njoo pm