Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

Mkuu mimi Niko kwenye hiyo field naweza kukushauri.
Kwa capital hiyo Naona its possible na ukapata faida sana.
Biashara ya vifaa Vya umeme inakua nzuri sana Kama una mtaji wa kutosha Hasa Kwa mtu ambae uko nje ya Kariakoo, Naona kabisa unaenda kumake profit nzuri Kwa sababu una connection na wadau wa umeme.

Ukiwa na mtaji unakua na mzigo wa kutosha na unanunua bei ya jumla zaidi na unaweza kuvutia wateja Kwa kupunguza bei zaidi ya wengine.

Kama ikikupendeza pia changanya na vitu Vya bomba, Liwe duka la umeme na bomba. Kuna hela sana humo.
Otherwise all the best champ
Asante sana. Najaribu hii biashara kwakweli. Nitafanya kama mdau alivyoshauri nisiingie mazima. Naweza ingiza hata 20m tu
 
Mtaji huo unatosha sana.. kikubwa punguza expectations, hao watu unaoita una connection nao watakuja kukushangaza.
Asante kwa angalizo hilo. Network ya watu wanaweza fika zaidi ya 50 but mie nimechukulia watu 20 tu siwezi kosa. Hawa ni mafundi umeme ambao wanafanya wiring maeneo mbalimbali.
 
Una MTU/watu wa kuisimamia hiyo biashara
Ndio. Na yupo vizuri sana. Kwanza ana elimu ya usimamizi wa biashara. Na nimewahi kufanya nae biashara moja ikalipa vizuri sema tuliifunga baada ya hamahama nyingi. But ilifungwa with profit
 
Asante kwa angalizo hilo. Network ya watu wanaweza fika zaidi ya 50 but mie nimechukulia watu 20 tu siwezi kosa. Hawa ni mafundi umeme ambao wanafanya wiring maeneo mbalimbali.
Tatizo sio kuwa na hiyo network ila umejiandaa vp kuishi na hiyo network? hao mafundi kama hautaishi nao vzr wanaweza kukukimbia wote aisee,mie ni fundi ukitaka abcd za kuishi na mafundi njoo pm
 
Tatizo sio kuwa na hiyo network ila umejiandaa vp kuishi na hiyo network? hao mafundi kama hautaishi nao vzr wanaweza kukukimbia wote aisee,mie ni fundi ukitaka abcd za kuishi na mafundi njoo pm
Nami pia ni fundi ndugu yangu. Nina uzoefu wa ufundi since 2005. Yaani nipo kwenye sekta kwa miaka 16 sasa.
 
Back
Top Bottom