mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
Wazo zuri ,hivyo vijana wenye idea juu ya electronic devices waungane na wewe kucreate may be radio ,subwolfer,spekeers ,TV na hata PC alaf ukimalza weka made in chatle Tz ya viwounder
Thanks broKwa hiyo capital inatosha kabisa kufanya hiyo biashara na pesa kidogo itabaki.
Nashukuru kakaMtaji mkubwa sana huo. Njoo Kariakoo, zunguka maduka ya bei jumla utapata vingi vya kutosha.
Vitu gani haswa wataka.Naomba mwenye uwelewa wa hii biashara yaan mfano niko dodoma nataka nipate wapi naeza kupata mzigo kwa bei nzuri
Wauzaji wa jumla wengi huweka margin ndogo kwenye retail price, lengo lao haswa ni wateja wa jumla kwa hiyo usishangae hilo.Mm nataka kama taa bulb, holder na extension cables, niliwah kwenda pale kkoo kwa tronics ananiambia extension cable elfb12 reja reja jumla 11,000 nikaona utapeli na biashara kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishindwa mkuu, nangojea chimbo fulan extension cable elf 3 hizi zinazouzwa elf 7. Mzigo haujashuka...hizo ndio bei za jumla, sio unaniwekea margin ya buku...buku na still sijasafirisha nauli n.kWauzaji wa jumla wengi huweka margin ndogo kwenye retail price, lengo lao haswa ni wateja wa jumla kwa hiyo usishangae hilo.
Nashukuru sana kwa wazo zuri. Binafsi nataka kukopea mshahara kwakuwa naweza kukatwa hata Tsh 1m kwa mwezi.Mimi naamini mkopo ni kwa ajili ya kuendeleza/kukuza biashara. Sio kuanzisha biashara.
Lazima ujue biashara yako Ina mzunguko kiasi gani, wateja ni wakina nani, kipi hasa kinatoka zaidi.
Lakini pia biashara sio kujaza duka/kupendezesha ila kuwa na mzunguko mkubwa ulioambatana na ushawishi wa lugha nzuri kwa wateja.
Ukishakuwa na wateja kiasi huwezi kumudu kuwahudumia kutokana na uchache wa mtaji wako hapo ndipo wazo la kuchukua mkopo huja, maana tayari watu wa kuwauzia bidhaa zako unao.
Ila kuanza mtaji na mkopo ni risk sana, kwa kuwa inachukua muda kiasi kuanza kuiona ile faida halisi kwenye biashara mpya. Kumbuka hapo wateja bado hujapata wa kutosha na marejesho yanahitajika. Hivyo ikitokea biashara haijachangamka kwa haraka ni rahisi wewe kufilisika na kubaki na Deni juu.
Mimi ni hayo tu mkuu. Wazo lako la biashara ni nzuri.
Sasa kama mtu hana huo mtaji wa kuanzia hiyo biashara bali ana wazo tu, na fursa keshaiyona kwanini asichukue huo mkopo ili kuanza hiyo biashara akamuomba Mungu mbele kwa mbele....Maana mpka mtu anafikia hatua ya kutaka kukopa ili aanzishe biashara manake hana mtaji wa kuanzia huyo ndo maana anakopa, vyenginevo asingekopa...nazani cha kumshauri ni kwamba akikopa asiitie pesa yote kwenye hiyo biashara...anaweza kutenga kiasi fulani, halafu kilichobaki let's say milioni 15 akaiweka fixed account..huku akisoma biashara yake ambayo ataianzisha kwa 20 milion inaendaje.Mimi naamini mkopo ni kwa ajili ya kuendeleza/kukuza biashara. Sio kuanzisha biashara.
Lazima ujue biashara yako Ina mzunguko kiasi gani, wateja ni wakina nani, kipi hasa kinatoka zaidi.
Lakini pia biashara sio kujaza duka/kupendezesha ila kuwa na mzunguko mkubwa ulioambatana na ushawishi wa lugha nzuri kwa wateja.
Ukishakuwa na wateja kiasi huwezi kumudu kuwahudumia kutokana na uchache wa mtaji wako hapo ndipo wazo la kuchukua mkopo huja, maana tayari watu wa kuwauzia bidhaa zako unao.
Ila kuanza mtaji na mkopo ni risk sana, kwa kuwa inachukua muda kiasi kuanza kuiona ile faida halisi kwenye biashara mpya. Kumbuka hapo wateja bado hujapata wa kutosha na marejesho yanahitajika. Hivyo ikitokea biashara haijachangamka kwa haraka ni rahisi wewe kufilisika na kubaki na Deni juu.
Mimi ni hayo tu mkuu. Wazo lako la biashara ni nzuri.
Nafikri kama ndio hivi u can start,ukatumia hiyo net work yako vifaa ya umeme vinalipa usiogope,ila biashara itakuhiatji sana wakati ndio unajaribu kujijengea jinaNashukuru sana kwa wazo zuri. Binafsi nataka kukopea mshahara kwakuwa naweza kukatwa hata Tsh 1m kwa mwezi.
Lakini kutokana na kazi yangu nina network kubwa ya kufahamiana na watu wanao deal na umeme.
Nia yangu ni kutaka kuigeuza hiyo network kuwa fursa kwangu lakini ni wazo ambalo ni bahati nasibu tu.