Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

Wazo zuri ,hivyo vijana wenye idea juu ya electronic devices waungane na wewe kucreate may be radio ,subwolfer,spekeers ,TV na hata PC alaf ukimalza weka made in chatle Tz ya viwounder
 
Guys ni matumaini yangu wote ni wazima umu

-naitaji msaada wenu mnipatie uchanganuzi kuhusu uwendeshaji wa biashara ya vitu vya electronics

-kwa maana ya vitu kama chaja za cmu,earphones,headphones,battery za cmu cover za cmu na protector za cmu pamoja na vitu vingine ambavyo sijavitaja apo

*MTAJI NILO NAO NI 2.5M
*LOCATION NIPO MOROGORO MJINI

-sijawai fanya biashara ktk maisha yangu so hii ni mara ya kwanza nataka nijaribu nione itakuaje kiukweli naitaji kutoka ktk hii hali ya umaskini , kwaiyo naitaji msaada wenu ndugu zangu walau nipate mwanga

#NAITAJI UFAFANUZI ZAIDI KWENYE HAYA MAMBO#
1.wapi naweza pata bidhaa nzuri na zenye bei nafuu
2.changamoto za biashara
3.faida zake
4.maeneo mazur yanaeza support biashara
5.je ni vitu gani na gani naweza kuweka ambavyo vinasoko
6.je kwa mtaji nilo nao waweza sapport ili
7.uwendeshwaji wa biashara kwa ujumla

NATUMAINI KUPATA MAJIBU MAZURI KUTOKA KWENU WAPENDWA
 
Naomba mwenye uelewa wa hii biashara yaani mfano niko Dodoma nataka nipate wapi naweza kupata mzigo kwa bei nzuri.
 
Mimi nataka kama taa bulb, holder na extension cables, niliwahi kwenda pale Kariakoo kwa tronics ananiambia extension cable elfb12 reja reja jumla 11,000 nikaona utapeli na biashara kichaa.
 
Mm nataka kama taa bulb, holder na extension cables, niliwah kwenda pale kkoo kwa tronics ananiambia extension cable elfb12 reja reja jumla 11,000 nikaona utapeli na biashara kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wauzaji wa jumla wengi huweka margin ndogo kwenye retail price, lengo lao haswa ni wateja wa jumla kwa hiyo usishangae hilo.
 
Wauzaji wa jumla wengi huweka margin ndogo kwenye retail price, lengo lao haswa ni wateja wa jumla kwa hiyo usishangae hilo.
Nilishindwa mkuu, nangojea chimbo fulan extension cable elf 3 hizi zinazouzwa elf 7. Mzigo haujashuka...hizo ndio bei za jumla, sio unaniwekea margin ya buku...buku na still sijasafirisha nauli n.k
 
Habari Wapambanaji.

Nina wazo la kuanzisha duka la vifaa vya umeme wa majumbani na baadhi ya vifaa vya viwandani.

Vifaa vya majumbani kama vile.. Taa, switches, conduits pipes, cables, wires, earth roads, circuits breakers, junction boxes, square boxes, distribution boards nk.

Vifaa vya viwandani kama. Magnetic Contactors, timers, relays, CBs push button switches nk.

Pia katika duka hilo natarajia niwe natoa na huduma za kusuka starters kwa wale wahitaji kwakuwa nina ujuzi wa ku design circuits mbalimbali kama za DOL, YD, Jogging, Forward and reverse nk. Nimeongea na bank moja kwamba naweza kupata mkopo wa angalau 35m.

Je hiyo inatosha au naweza ku fail katika biashara hiyo. Nipo katika Wilaya moja ambayo inakuwa sana kiuchumi na kazi za viwandani ni nyingi sana.

Ushauri please.

1621228234100.png

Mimi naamini mkopo ni kwa ajili ya kuendeleza/kukuza biashara. Sio kuanzisha biashara.

Lazima ujue biashara yako Ina mzunguko kiasi gani, wateja ni wakina nani, kipi hasa kinatoka zaidi.

Lakini pia biashara sio kujaza duka/kupendezesha ila kuwa na mzunguko mkubwa ulioambatana na ushawishi wa lugha nzuri kwa wateja.

Ukishakuwa na wateja kiasi huwezi kumudu kuwahudumia kutokana na uchache wa mtaji wako hapo ndipo wazo la kuchukua mkopo huja, maana tayari watu wa kuwauzia bidhaa zako unao.

Ila kuanza mtaji na mkopo ni risk sana, kwa kuwa inachukua muda kiasi kuanza kuiona ile faida halisi kwenye biashara mpya. Kumbuka hapo wateja bado hujapata wa kutosha na marejesho yanahitajika. Hivyo ikitokea biashara haijachangamka kwa haraka ni rahisi wewe kufilisika na kubaki na Deni juu.

Mimi ni hayo tu mkuu. Wazo lako la biashara ni nzuri.
 
Nashukuru sana kwa wazo zuri. Binafsi nataka kukopea mshahara kwakuwa naweza kukatwa hata Tsh 1m kwa mwezi.

Lakini kutokana na kazi yangu nina network kubwa ya kufahamiana na watu wanao deal na umeme.

Nia yangu ni kutaka kuigeuza hiyo network kuwa fursa kwangu lakini ni wazo ambalo ni bahati nasibu tu.
 
Tafuta fremu,Jina la biashara,TIN,leseni, anza kazi....boresha idara ya masoko. Kama taasisi karibia zote zina idara ya masoko,kwa nini kwenye biashara yako asiwepo mtu wa masoko. Piga kazi.
 
Mimi naamini mkopo ni kwa ajili ya kuendeleza/kukuza biashara. Sio kuanzisha biashara.

Lazima ujue biashara yako Ina mzunguko kiasi gani, wateja ni wakina nani, kipi hasa kinatoka zaidi.

Lakini pia biashara sio kujaza duka/kupendezesha ila kuwa na mzunguko mkubwa ulioambatana na ushawishi wa lugha nzuri kwa wateja.

Ukishakuwa na wateja kiasi huwezi kumudu kuwahudumia kutokana na uchache wa mtaji wako hapo ndipo wazo la kuchukua mkopo huja, maana tayari watu wa kuwauzia bidhaa zako unao.

Ila kuanza mtaji na mkopo ni risk sana, kwa kuwa inachukua muda kiasi kuanza kuiona ile faida halisi kwenye biashara mpya. Kumbuka hapo wateja bado hujapata wa kutosha na marejesho yanahitajika. Hivyo ikitokea biashara haijachangamka kwa haraka ni rahisi wewe kufilisika na kubaki na Deni juu.

Mimi ni hayo tu mkuu. Wazo lako la biashara ni nzuri.
Sasa kama mtu hana huo mtaji wa kuanzia hiyo biashara bali ana wazo tu, na fursa keshaiyona kwanini asichukue huo mkopo ili kuanza hiyo biashara akamuomba Mungu mbele kwa mbele....Maana mpka mtu anafikia hatua ya kutaka kukopa ili aanzishe biashara manake hana mtaji wa kuanzia huyo ndo maana anakopa, vyenginevo asingekopa...nazani cha kumshauri ni kwamba akikopa asiitie pesa yote kwenye hiyo biashara...anaweza kutenga kiasi fulani, halafu kilichobaki let's say milioni 15 akaiweka fixed account..huku akisoma biashara yake ambayo ataianzisha kwa 20 milion inaendaje.
 
Nashukuru sana kwa wazo zuri. Binafsi nataka kukopea mshahara kwakuwa naweza kukatwa hata Tsh 1m kwa mwezi.

Lakini kutokana na kazi yangu nina network kubwa ya kufahamiana na watu wanao deal na umeme.

Nia yangu ni kutaka kuigeuza hiyo network kuwa fursa kwangu lakini ni wazo ambalo ni bahati nasibu tu.
Nafikri kama ndio hivi u can start,ukatumia hiyo net work yako vifaa ya umeme vinalipa usiogope,ila biashara itakuhiatji sana wakati ndio unajaribu kujijengea jina
 
Mkuu mimi Niko kwenye hiyo field naweza kukushauri. Kwa capital hiyo Naona its possible na ukapata faida sana. Biashara ya vifaa Vya umeme inakua nzuri sana Kama una mtaji wa kutosha Hasa Kwa mtu ambae uko nje ya Kariakoo, Naona kabisa unaenda kumake profit nzuri Kwa sababu una connection na wadau wa umeme.

Ukiwa na mtaji unakua na mzigo wa kutosha na unanunua bei ya jumla zaidi na unaweza kuvutia wateja Kwa kupunguza bei zaidi ya wengine.

Kama ikikupendeza pia changanya na vitu Vya bomba, Liwe duka la umeme na bomba. Kuna hela sana humo.
Otherwise all the best champ
 
Back
Top Bottom