Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

Tanbro hawafi,labda uwe mzembe wa kufatilia wakionyesha dalili za kuumwa kuwawahishia dawa
Ata ikitokea vinakufa vile nyongeza unazopewa kwa box..eg kwa kuku 203 wanakufa vfaranga wawili mpk unapouza
Be positive
Nimewasikia mtandaoni Ila sijawahi kiwafuga. Ni layers au wa nyama?
 
Mh kwa 10,000 labda awe na wiki 12(kutokana na aina ya wateja nlokutana nao)
Je na nikitaka kuwafuga kama layers ili wanipatie mayai kwa ajili ya kuuza, ratio yao ya utagaji ikoje na inafaa kwa biashara na je nikiamua kutotolesha mayai yao, kuna uwezekano wa kupata same breed au nitapata breed tofauti?
 
Sina data zozote kuhusu layers
Labda uingie instagram kwny page yao ya interchicktz
 
Mimi nafuga Tanbro,
Ambao kuku 100 wanakula mifuko 6 kwa wiki 8(mpaka unapowauza) so zidisha hapo

Nalisha mfuko tu ndio mwanzo mwsho
Nilijaribu kuwachangania walikua wepesi kama karatasi so nimestick kulisha cha dukani peke ake

Kutokana na gharama za chakula kupanda...maximum Tanbro 100 nafuga kwa 650,000
Kwa nini usitengeneze chakula wewe ? Itakupa faida kubwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom