Naomba ushauri: Nataka kufanya biashara ya Radio na TV kutoka Afrika ya Kusini

IZENGOB

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
323
316
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina ndugu yangu anafanya biashara flani kutoka SAUZI sasa nataka kumuomba nimpe mtaji wa kuanzia 1M ili nimuagize TV na Redio kwa ajili ya biashara. Je SAUZI ni sehemu sahihi kwa biashara hiyo?

Kama kuna anayefanya anaweza kunipa dondoo za bei n.k pia kama kuna biashara nyingine halali naweza kufanya inayoweza kunipa faida nzuri?
 
Wateja wapo au ukishaagiza ndio utajua mbele kwa mbele
 
South vitu vingi vya electronics utapata vya wizi sikushauri hiyo biashara
 
Nikiagiza wateja watapatikana tu.
Mkuu Mo na Wachina wamevuruga biashara ya electronics hasa TVs.

SingSung wana mpaka flat TVs ambazo unachomeka tu flash la movie tena kwa laki 2 tu.

So unapaswa kujua kwanza uwezo wa kununua wa wateja ndani ya soko lako.
 
Ni kweli kaka najua,pia zinatofautiana bei kulingana na ukubwa.Pia hakuna biashara ya peke yako.Ni kukomaa tu.
 
Test the market Kwanza tafuta watu wanafanya biashara hapa ununue kwao wakupunguzie wew uuze juu kidogo lakn Bei isiwe kubwa then uone soko likoje na Kama ukileta bidhaa zako utaweza
 
Vifaa vya electronics hapa SA ni cheap kuliko bongo especially TV na radio,ingia hata kwenye website za game.co.za,, HiFi.co.za nk. Pia tuna mizigo ya kitaa ambayo ni ya wizi utapata cheap zaidi kama una connection. Usiogope kuanza mdogo mdogo.
 
Back
Top Bottom