Naomba ushauri nataka kuagiza gari aina ya Toyota IST

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,040
Naombeni msaada kwa wajuzi wa Toyota IST. Ninampango wa ku import hiyo gari ila sina uzoefu na hzo gari manake naona kuna model za 2002, 2003, 2004, 2005, 2006 nazungumzia old model tu. Hapo ni nimechanganyikiwa kidogo.

IST nzuri ni ya mwaka gani? Na kuna utofauti gani kati ya IST ya mwaka mmoja na mwingine?

Naombeni ujuzi wakuu wataalam mpo hamkosekani.
 
Unaposema old model hizo zote zitakuwa na features sawa isipokuwa kunakuwa na utofauti kidogo kutokana na gari ilikuwa inatumiwa hivyo kuna vitu huenda mtumiaji ameongeza.

Kiujumla kuna ist za aina tatu kutokana na code zake ncp60,ncp61 na ncp65.

NCP 60- Hii inakuwa na engine ya 2nz na 1290cc na nifront wheel drive.

NCP61-Hii inakuwa na engine ya 1nz na 1490cc na nifront wheel drive.

NCP65-Hii inakuwa na engine ya 1nz na 1490cc na ni 4wd.

Sasa hapo uzuri wa ipi ununue itategemea na matumizi yako
 
Naitunza hii kwa matumizi ya badae
 
NCP65 yenye 4WD achana nayo kabisa inasumbua,na pia unaponunua kama ni beforward kuwa makini kwani kuna gari hawasema kama ni 4WD au 2WD unanunua unakuta chuma kimefika ni 4WD
 
SBT/Beforward wote ni wazuri tu cha msingi unapochagua uwe makini waweza tumia zile filter ukachagua zenye 2WD only pia jitahidi kuangalia zenye km chache huwa naona ni bora zaidi

Suala la mileage huwa sinaga iman na hawa watu lazma wanachezesha tu
 
Inategemea mkuu,binafsi nilinunua gari beforward ikiwa na 50,000km nikaja kununua sbt ikiwa na 180,000km nikaja nunua trust car japan ikiwa na 72000km.Kiukweli nilizonunua na low km ziko vizuri mno ndio maana huwa napendekeza hivyo tena ikiwezekana kwenye befoward kama uko vizuri select one owner zinakuwa super sana
 
Hizo gari ulizonunua zilikua Sina gani ?
 
Inategemea mkuu,binafsi nilinunua gari beforward ikiwa na 50,000km nikaja kununua sbt ikiwa na 180,000km nikaja nunua trust car japan ikiwa na 72000km.Kiukweli nilizonunua na low km ziko vizuri mno ndio maana huwa napendekeza hivyo tena ikiwezekana kwenye befoward kama uko vizuri select one owner zinakuwa super sana

Kwenye one owner sijakuelewa mkuu nieleweshe hapa
 
Back
Top Bottom