Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ushauri wenu ni muhimu sana maana nina hali mbaya sana kisaikolojia. Naishi kwa stress kiasi kwamba kuna wakati nafikiri pombe itanisaidia nayo inaniongezea shida tu sababu kiukweli mimi pombe siziwezi kwahiyo nilishaamua kuachana nazo sasa kwa sasa hunilazimu kushtua kidogo kujipa faraja lakini ndio kwanza naongeza majanga maana huwa inanifanya kituko.

Mimi si mwandishi mzuri nitajitahidi kueleza mengine nitajibu kwenyw comments. Kiufupi Nilikutana na huyu mwanamke miaka kadhaa iliyopita. Tulianza maisha vizuri kwa bahati nzuri wote tuna vibarua. Kiumri hatujapishana sana labda namzidi mwaka mmoja hivi jambo linalofanya iwe ni kama mkubwa kwangu.

Nafikiri hii ndio inamfanya aenende hivi, Mwanzo tuliheshimiana vizuri lakini siku zinavyokwenda sijui ananiona kijana wake sijui houseboy maana hizi treatment zake zinanifadhaisha sana inafikia wakati sina hamu naye ya tendo sababu ya stress. Kwanza tendo lenyewe mpaka atake yeye na kwa muda autakao pamoja na kwamba hana maajabu kwenye tendo lenyewe.

Shida nyingine ni suala la pesa dah naminywa mpakaa nakosa pumzi eti kwwa kisingizio cha kufanyia maendeleo. Yaani mwanaume mimi niamke asubuhi nimwombe hela yeye ndio anipe akijisikia eti natumia vibaya. Na hela yenyewe natafuta mwenyewe. Inaniuma sana.

Mwanzo nilidhani kweli sina matumizi mazuri maana hilo jambo la maendeleeo hata mimi nalitaka kwahiyo unakuta nikipata hela tunapeleka huko karibu yote tunabaki na hela ya matumizi ya home ambayo ndio anakuwa nayo yeye. Sasa ukitaka hata kwenda salon inabidi ujieleze. Ukitaka kwenda mtaani unahitaji kapesa mpaka ujieleze ama sivyo utatembea mtupu. Sasa mpaka nawaza mbona uanaume wangu unapotea? Yaani katika wasio na nguvu za kiume mimi sinazo hata moja.

Halafu kuna vijimambo vidogo vidogo vinafanya huwa najiuliza sana mimi ni mwanaume hapa ama? Mfano siku moja nikaongea jambo na binti wa kazi, Nilimuuliza tu anapenda akasalimie lini kwao? Binti akasema ataenda kiangazi sasa hivi palizi nyingi hataki shuruba baasi nikaachana nae

Kesho sina habari niko kazini napigiwa simu na wife anauliza nilipomuuliza binti vile nilimaanisha nini? Maanaa yake nianze kutoa maaelezo kwanini nimesema vile? Nilighadhibika sana, Nitakuwa mwanaume gani wa kujieleza hovyo? Mwanamke mwenyewe single mother tu

Sasa hizo zote ni stori nachotaka kwenu ni kwamba nataka kufanya maamuzi hofu yangu iko sehemu mbili tu. Kwanza huyu ni mwanamke wa pili, Na huyu nikiachana naye nahofia jamii itanichukuliaje. Pili, Umri wangu ni wa kufanya maendeleo na tumeshaanza nikiachana naye nahofia kuanza upya.

Kuna wakati napanga niombe uhamisho nikae nae mbali maana hapa sina amani kabisa. Mengine nitayajibu baadae ushauri wenu wakuu wangu stress zinanimaliza kijana mwenzenu.
Kwanini hujaja kutuuliza wakati unataka kuishi naye
 
Huyo anakunyonya hela zako akimuhudumia mwanamme mwenzio na usikute ni rafikiyo ama kijana wa hapo hapo mtaani kwenu.
 
Mkuu hayajakukuta, mshukuru Mungu kwa hilo, hili halijaanzia kwake, kama una namba ya Samsoni na una salio mpigie huyo MNADHIRI WA MUNGU umuulize ilikuaje hata Shemeji yetu Delila akapitanae utaelewa.
Usimfanye ajisikie mnyonge ilihali kafunguka, kuna wanaume wana makubwa kuliko haya na wanaugulia tu maumivu moyoni.
Wise
 
NNA mashaka na uanamme wako.....ulishawahi piga PUNYETO panzi wewe????....kweli tuko tofauti......unamkabidhi mwanamke mshahara wko wote.....pumbafu sana wewe.......unaelewa maana ya KICHWA cha NYUMBA???? ulienda jando hospital au porini..????.......jitafakari....kuna siku atakupima oil kwa kisingizio ndio anafika kileleni vema......
 
Back
Top Bottom