Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

MKUU makosa unayo wewe,
Kwanza unamatumizi mabaya ya pesa,asingekuwa mkeo usingejenga.
Pili hujiamini, unamsikiliza zaidi mkeo,ndio maana uko tayr kumpa uchumi wote. Na wewe kuhangaika mfukoni empty.
Tatu muoga,kuishi bila yeye kwa kuwa hata wewe unaamini bila ushiriki wake hutoboi.

Rekebisha hayo, afu mwambie kuanzia sasa utakusanya wewe hizo pesa. Yaani zitakuwa chini yako. Na uzifanyie maendeleo kwelikweli. Usimpe uchumi wote mwanamke,timiza majukumu yako. Na wewe ndio kauli ya mwisho hapo nyumbani,ila jitahidi kuwa na busara. Akishindwa hayo mwache.
Nimepokea ushauri
 
Nimeishia Hapo Uliposema Pesa Yako Unashikiwa Na Mwanamke.

Dunia Ya Sasa Pesa Ndio Akili Sasa Kushikiwa Pesa Sawa Na Kushikwa Akili.

Acha Huo Upumbafu Mara Moja Wa Kupangiwa Matumizi.
 
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ushauri wenu ni muhimu sana maana nina hali mbaya sana kisaikolojia. Naishi kwa stress kiasi kwamba kuna wakati nafikiri pombe itanisaidia nayo inaniongezea shida tu sababu kiukweli mimi pombe siziwezi kwahiyo nilishaamua kuachana nazo sasa kwa sasa hunilazimu kushtua kidogo kujipa faraja lakini ndio kwanza naongeza majanga maana huwa inanifanya kituko.

Mimi si mwandishi mzuri nitajitahidi kueleza mengine nitajibu kwenyw comments. Kiufupi Nilikutana na huyu mwanamke miaka kadhaa iliyopita. Tulianza maisha vizuri kwa bahati nzuri wote tuna vibarua. Kiumri hatujapishana sana labda namzidi mwaka mmoja hivi jambo linalofanya iwe ni kama mkubwa kwangu.

Nafikiri hii ndio inamfanya aenende hivi, Mwanzo tuliheshimiana vizuri lakini siku zinavyokwenda sijui ananiona kijana wake sijui houseboy maana hizi treatment zake zinanifadhaisha sana inafikia wakati sina hamu naye ya tendo sababu ya stress. Kwanza tendo lenyewe mpaka atake yeye na kwa muda autakao pamoja na kwamba hana maajabu kwenye tendo lenyewe.

Shida nyingine ni suala la pesa dah naminywa mpakaa nakosa pumzi eti kwwa kisingizio cha kufanyia maendeleo. Yaani mwanaume mimi niamke asubuhi nimwombe hela yeye ndio anipe akijisikia eti natumia vibaya. Na hela yenyewe natafuta mwenyewe. Inaniuma sana.

Mwanzo nilidhani kweli sina matumizi mazuri maana hilo jambo la maendeleeo hata mimi nalitaka kwahiyo unakuta nikipata hela tunapeleka huko karibu yote tunabaki na hela ya matumizi ya home ambayo ndio anakuwa nayo yeye. Sasa ukitaka hata kwenda salon inabidi ujieleze. Ukitaka kwenda mtaani unahitaji kapesa mpaka ujieleze ama sivyo utatembea mtupu. Sasa mpaka nawaza mbona uanaume wangu unapotea? Yaani katika wasio na nguvu za kiume mimi sinazo hata moja.

Halafu kuna vijimambo vidogo vidogo vinafanya huwa najiuliza sana mimi ni mwanaume hapa ama? Mfano siku moja nikaongea jambo na binti wa kazi, Nilimuuliza tu anapenda akasalimie lini kwao? Binti akasema ataenda kiangazi sasa hivi palizi nyingi hataki shuruba baasi nikaachana nae

Kesho sina habari niko kazini napigiwa simu na wife anauliza nilipomuuliza binti vile nilimaanisha nini? Maanaa yake nianze kutoa maaelezo kwanini nimesema vile? Nilighadhibika sana, Nitakuwa mwanaume gani wa kujieleza hovyo? Mwanamke mwenyewe single mother tu

Sasa hizo zote ni stori nachotaka kwenu ni kwamba nataka kufanya maamuzi hofu yangu iko sehemu mbili tu. Kwanza huyu ni mwanamke wa pili, Na huyu nikiachana naye nahofia jamii itanichukuliaje. Pili, Umri wangu ni wa kufanya maendeleo na tumeshaanza nikiachana naye nahofia kuanza upya.

Kuna wakati napanga niombe uhamisho nikae nae mbali maana hapa sina amani kabisa. Mengine nitayajibu baadae ushauri wenu wakuu wangu stress zinanimaliza kijana mwenzenu.
Mi huwa nawashangaa sn!
Hivi kumbe kuachana na mtu anaekupa shida ni kazi eeh?
Au mi ndo sielewi?
 
Wale ,wanaoelewa mambo kiroho,wanajua kabisa,madhabahu yenye nguvu ndio inayotawala!
Ss inategemea uko na mtu wa aina gani,ana nguvu gani kiroho na wewe una nguvu gani,ni madhabahu ipi kila mmoja ametokea,mnafikiri watu wanapouliza makabila huwa wanaubaguzi?
No,kuna mambo mengi sn ya kuangalia kabla hujaoa,kuolewa!

Ss kuna baadhi ya makabila mwanamke ndio ana nguvu ya kutawala(miungu ya makabila na madhabahu zao)ndo wako hivyo!
Ndo maana mwanamke wa hivi akikutana na mwanaume ambae nae katokea kwenye kabila ambalo lina nguvu (miungu ya kwao) haitaki kutawaliwa lzm divorce, au mmoja kufa kabisa!

Watu huwa hawaelewi hivi vitu,miungu nayo huwa inapimana nguvu,anaeshinda ndo anaetawala familia,ukoo!
Salama ni wrote kuachaba na miungu kumrudia Mungu!
 
Hii hufanya kazi kwa mwanamke ambaye hakufake kuolewa na mume wake lakini kwa hawa nguchiro wanao olewa kwa sababu nje na love. Maajabu yapo na hayana mwalimu.95% wanaume tunaoa wanawake ambao hawajatupenda moyoni wanakubali kuolewa kwa sababu zingine za kimaisha kwa faida yao
Mmh nalo neno!
 
Kuanzia sasa usimpe hela yako. Achana na mambo ya kumpa hela yote.akihoji mwambie wewe sio mtumwa wa kumwomba pesa yako, akichoka aondoke yeye.

Option no 2, kwa sasa tafuta mchepuko usife kwa stress.

Ni hayo tu.

N.b. mpende mtoto wake alokuja nae, ukikuta wameshakula chakula usile mwenyewe hakikisha unakula na mwanae, utaona akimzuia jua kuna dawa.

Baba yangu mkubwa hadi leo anatuchekesha sana anasema mke wake kila chakula alikuwa akimuwekea dawa, baada ya kugundua, kila chakula anakula na watoto, hata akikuta wamelala anawaamsha wale nae, mwanamke anagomba kweli watoto wasile

Sasa watoto wote ni wajinga, baba yao alivyojua analishwa madawa akajiwekea kinga madawa yakawakamata watoto. Hadi leo anawambia watoto mama yenu ndo aliwaroga mimi nilimshinda
Duh
Tunaomba hii ifunguliwe Uzi luckyline
 
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ushauri wenu ni muhimu sana maana nina hali mbaya sana kisaikolojia. Naishi kwa stress kiasi kwamba kuna wakati nafikiri pombe itanisaidia nayo inaniongezea shida tu sababu kiukweli mimi pombe siziwezi kwahiyo nilishaamua kuachana nazo sasa kwa sasa hunilazimu kushtua kidogo kujipa faraja lakini ndio kwanza naongeza majanga maana huwa inanifanya kituko.

Mimi si mwandishi mzuri nitajitahidi kueleza mengine nitajibu kwenyw comments. Kiufupi Nilikutana na huyu mwanamke miaka kadhaa iliyopita. Tulianza maisha vizuri kwa bahati nzuri wote tuna vibarua. Kiumri hatujapishana sana labda namzidi mwaka mmoja hivi jambo linalofanya iwe ni kama mkubwa kwangu.

Nafikiri hii ndio inamfanya aenende hivi, Mwanzo tuliheshimiana vizuri lakini siku zinavyokwenda sijui ananiona kijana wake sijui houseboy maana hizi treatment zake zinanifadhaisha sana inafikia wakati sina hamu naye ya tendo sababu ya stress. Kwanza tendo lenyewe mpaka atake yeye na kwa muda autakao pamoja na kwamba hana maajabu kwenye tendo lenyewe.

Shida nyingine ni suala la pesa dah naminywa mpakaa nakosa pumzi eti kwwa kisingizio cha kufanyia maendeleo. Yaani mwanaume mimi niamke asubuhi nimwombe hela yeye ndio anipe akijisikia eti natumia vibaya. Na hela yenyewe natafuta mwenyewe. Inaniuma sana.

Mwanzo nilidhani kweli sina matumizi mazuri maana hilo jambo la maendeleeo hata mimi nalitaka kwahiyo unakuta nikipata hela tunapeleka huko karibu yote tunabaki na hela ya matumizi ya home ambayo ndio anakuwa nayo yeye. Sasa ukitaka hata kwenda salon inabidi ujieleze. Ukitaka kwenda mtaani unahitaji kapesa mpaka ujieleze ama sivyo utatembea mtupu. Sasa mpaka nawaza mbona uanaume wangu unapotea? Yaani katika wasio na nguvu za kiume mimi sinazo hata moja.

Halafu kuna vijimambo vidogo vidogo vinafanya huwa najiuliza sana mimi ni mwanaume hapa ama? Mfano siku moja nikaongea jambo na binti wa kazi, Nilimuuliza tu anapenda akasalimie lini kwao? Binti akasema ataenda kiangazi sasa hivi palizi nyingi hataki shuruba baasi nikaachana nae

Kesho sina habari niko kazini napigiwa simu na wife anauliza nilipomuuliza binti vile nilimaanisha nini? Maanaa yake nianze kutoa maaelezo kwanini nimesema vile? Nilighadhibika sana, Nitakuwa mwanaume gani wa kujieleza hovyo? Mwanamke mwenyewe single mother tu

Sasa hizo zote ni stori nachotaka kwenu ni kwamba nataka kufanya maamuzi hofu yangu iko sehemu mbili tu. Kwanza huyu ni mwanamke wa pili, Na huyu nikiachana naye nahofia jamii itanichukuliaje. Pili, Umri wangu ni wa kufanya maendeleo na tumeshaanza nikiachana naye nahofia kuanza upya.

Kuna wakati napanga niombe uhamisho nikae nae mbali maana hapa sina amani kabisa. Mengine nitayajibu baadae ushauri wenu wakuu wangu stress zinanimaliza kijana mwenzenu.
omba uhamisho mkuu
 
Unaogopa kuachana naye kwakua jamii itakuchukuliaje. Then chagua kuiridhisha jamii uendelee kuwa na maumivu ya kudumu au kufanya maamuzi yatakaupa moyo wako amani.
 
Nilichukua ushauri wote, Na kuufanyia kazi kasoro hili la kuachana mimi si muumini wa kuachana sana hiyo huwa hatua ya mwisho.

Lakini kwa yale niliyoyatekeleza naona anaiona nyumba chungu, Si kwa sababu labda nimekuwa too harsh ila alishazoea

Najua akishaizoea atakaa sawa
Nawashukuru sana
 
Hajanichezea, Niliwahi kukorofishana naye yakafika kwa wazazi katika kujitetea akasingizia anafanya sababu nina matumizi mabaya, Yeye ndio utetezi wake siku zote
Mama aliponipa mrejesho akaonekana kukubaliana naye nikamwambia huyu sio habari ya matumizi ana hulka ya kaubabe fulani mkikaa upande wake kuna siku hamtatumiwa hata hela ya soda

Na kweli ni mwezi wa sita huu kama sijasahau sijatuma hata elfu kumi home na mama keshaanza kumsanukia

Badala yake juzikati nimeshika simu yake naona wanapeana akaunti namba na wadogo zake nikauliza yanini anasema wamepanga wawe wanamtumia kiasi fulani mama yao kila mwezi

Yaani mama yangu sijamtumia miezi kibao nikijua wote tume-mute tufanye majambo yetu yeye anatuma kwao, Na huenda alinidanganya sio hela ya mama ni anafanya miradi mingine.

Niliwahi kumtandika naona haelewi sasa nisije kuua
Hadi nimesisimka mkuu, yani wewe mama yako asipate hata senti alafu wao watume kwao, hiyo tu ni wake up call. Usiwe mstaarabu sana mkuu hakuna tuzo katika hilo, utakufa na stress.
 
Umelogwa mkuu,,,sorry for my evil mind
Hii sio evil mind, huu ni ukweli ambao ndoa nyingi mahusiano yanaukabili. Ukiwa na mwanamke mwenye mentality ya waganga kisha ukazubaa matokeo yake ni kuwa mwanaume bwege tu.

Dawa ni timing kabla hajakutengeneza unamtengeneza wewe. Ni bora mwanamke ndo awe submissive kuliko mwanaume.
 
wanawake sisi ni submissive automatically mkitupenda

huna sababu ya kumtengeneza hahahahahha,,,,you made my day kwa kweli
 
Shida huwa inakuja kuwa mwanamke akimpenda sana mwanaume anakuwa na wivu akishakuwa na wivu anaanza kuwa na sign za insecurity kiasi kwamba anahisi labda siku moja ataachwa.

Ukimkututa mwanamke mwenye kuwaza waganga sana, hachelewi kukutengeneza 😂.
 
hao ni hatari na nusu

duuuh
 
Mkuu naomba nikushauri zingatia sana ushauri wangu kwa kuwa mengi uliyopitia nami nimeyapitia!

WANAWAKE WENGI NDIVYO WALIVYO
Wanawake wengi wanaongozwa na hisia kuliko uhalisia na wanapozidisha hisia ndipo ule msemo wa mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Mwanamke ana tabia ya kumsoma mwanaume kwa kuangalia ubora na udhaifu wa mwanaume huyo... Baada ya hapo huzingatia kuutumia udhaifu wa mwanaume kuliko ubora... Kadri maisha yanavyoendelea still yeye atajikita kuutumia ule udhaifu aliougundua mwanzon kabisa wa mahusiano yenu,,, na hapa ndipo mwanamke huanza kuishi kwa hisia.... Huwa anaamini ule udhaifu bado unaishi nao na hujikuta anasahau kuwa binadamu anabadilika.

Kutokana na hilo nakushauri Jichunguze ni udhaifu wako gani anautumia kukutawala hivyo, kisha jirekebishe sehemu hiyo...!!! Then kaa nae chini muelekeze each and everything mwambie vile unajisikia kutokana na tabia zake mwelekeze politely lakini usisahau kumuelekeza kuwa unakosa hisia nae na unaona muelekeo mbaya wa mahusiano yenu... Kama atakuonesha majibu ya dharau na kejeli au atataka mshindane ili kumtafuta nani msafi nakushauri usimjibu maadam ujumbe wako utakuwa umemfikia.... ukishamuacha ule ujumbe ulompa utaendelea kumzunguka kichwani kwake.... Trust me atakaa na kuufikiria sana

Mpe wiki mbili ya kumuangalia kama amebadilika... kama ataendelea na misimamo yake mkuu fanya maamuzi magumu ya kuachana nae

Ama sivyo utakuja kushituka kuna mwamba anakula mkeo....
 
"Shida nyingine ni suala la pesa dah naminywa mpakaa nakosa pumzi eti kwwa kisingizio cha kufanyia maendeleo, Yaani mwanaume mimi niamke asubuhi nimwombe hela yeye ndio anipe akijisikia eti natumia vibaya, Na hela yenyewe natafuta mwenyewe. Inaniuma sana."

Mkeo anakuzidi kipato.

Anakuzidi akili

Ana mtoto, wewe huna

Huna hela unamtegemea yeye au unapata kidogo sana.

Hata mapenzi mnafanya akipenda yeye.

Kwa staili hii huwezi ukawa na nguvu za kiume maana hata nyumba ni ya kwake au analipa kodi yeye.

Halafu unamuogopaa.aa

Wewe mwenyewe unaogopa maisha.

Fanya maamuzi hata kama yatakuumiza ila utakuja kushukuru.

Jitenge naye kidogo kidogo. Fanya kazi kodi chumba.

Jiepushe naye kabisa. Kuwa busy. Acha kulalamika. Usimuonee huruma.

Anza upya. Stress kama hizo ni mbaya sana zitakuua.

Ndugu, hela ya mwanamke hailiki, na ukiila utajuta. Nakuambia utaitapika. Tafuta vyako achana na vitu vya mwanamke.

Jali maisha yako tu kwa sasa.
eti "alafu unamuogopaaaa"
 
Back
Top Bottom