Naomba ushauri nataka ku reseat o'level examination

richad

Member
Jan 13, 2019
14
3
Jamani poleni na majukumu natumaini muwazima wa afya naomben ushauri kuhusu swala la kurudia mtihani was kidato cha nne nataka nirudie masomo ya science ambayo awali sikuyafanya je inawezekana naombeni msaada wenu, matokeo yangu ya mwanzo yalikuwa hivi:
Language-D
History-C
Geography-D
Kiswahili-D
Biology-D
Civics-D
B/math-F
Sasa natal nirudie mtihani wangu wa kidato cha nne mwakani kwenye masomo ya science je inawezekana wapendwa nisaidieni kimawazo kuhusu hili
 
Simamia ndoto zako weka na juhud utaona kuwa hakuna linaloshindikana chini ya jua.
 
mbona sioni msingi wa tahasusi ya sayansi hapo . kama hujasoma physics bado utakuwa hujasoma sayansi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom